Mkuu wa sikuhz wako over 20 men experience [emoji848]🥸Hujui maana ya kuangalia background ya binti sio... If you find a woman already dated 2+ men before then do not take it easy.
😅😅 inashangaza red flags zipo.wazi halafu haoni anaomba ushauri..[emoji16][emoji16] if bad advice was a person
Hebu toka hapa,unataka ushauri gani?mwache huyo malaya haraka sana
Oooh mke wangu fyokofyoko nje huko kuna njemba inagonga tu bila tabu yoyote tena inafumua matundu yote aliyonayo
Mwache aolewe na shetani anayempitia kila mara. Kiufupi huyo ni mtoto wa mjini na wewe ni jogoo wa shamba. Mifumo yenu na malezi ni tofauti atakusumbua tu maana unaonesha wewe ndio unamuhitaji zaidi kuliko ambavyo yeye anakuhitaji. Kosa sio kosa likitendwa mara moja likafuatiwa na msamaha. Ila kosa kurudiwa mara kwa mara ni makusudi na dharau kubwa sana.Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate
Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Huyo demu ni mshamba, anazuzuliwa na wale wanaoleta maburungutu pale kaunta. Demu atakuwa pisi af ni bank telller tu😂Ukiwa na kazi na umesoma mpaka raha. Yani mwanaume unamfanya unavotaka mpaka anakuja jf kuomba ushauri mana wewe ni wife wa ndoto. Daah nimelia sana.
Kwa waislamu hyo ktu haipo....huwa tunafukuza tu hizo takatakaNi heri ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa! Dalili ya mvua ni mawingu ....
Aisee mie nilikuwa bwege huko nyuma kuhusu wanawake ila mwezangu wee umezidi 🤣🤣🤣🤣 sasa kashakwambia anaeeza kuwa na ndume ata kumi wee bado hujajua tuu kuwa huyo ni mwanamke wa kugegeda tuuMimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate
Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Kabisa...akizingua fukuza kabisaKwa waislamu hyo ktu haipo....huwa tunafukuza tu hizo takataka
Kuna dosari za kumvumilia mwanakie ila sio kiburi, umalaya na ujuaji.Ila mzee pamoja na shauri zote zilizotolewa huko juu, mimi ushaur wangu ni mmoja tu, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO. sikushauri kumwacha huyo mpenzi wako ila je kama ukimuacha leo then huyo utakayempata atakuwa na unafuu kuliko huyu? Katika dunia ya leo kupata mwanamke ambaye hana dosari kama hizo ni nadra sana. Chamsingi ni kukaa na mwenzio na kuangalia shida iko wapi namna ya kuitatua ili maisha yaendelee.
1.Mwanamke anaficha ficha simu unaanzaje kumpa trust yako?Aisee mie nilikuwa bwege huko nyuma kuhusu wanawake ila mwezangu wee umezidi 🤣🤣🤣🤣 sasa kashakwambia anaeeza kuwa na ndume ata kumi wee bado hujajua tuu kuwa huyo ni mwanamke wa kugegeda tuu
njemaHabari yako mkuu!