Mkuu pole sana huyo mwanamke hakufai hata kidogo, hastahili kamwe. Mtu anaeendekeza mawasiliano na ma ex ni wazi bado wapo moyoni mwake. Tafuta mwanamke mwingine huyo piga chini.
Mkuu
Half american unamshauri amuache kizembe hivyo kweli?
Hatakiwi kumuacha huyo mwanamke bhana..
Kwanza mwamba ana makosa ya kimkakati,,
Miaka mitatu na hujampa mimba? Huo ni uzembe mkubwa mkuu
Mbuzi ili umfuge uwe na uhakika wa kamba..
Elewa hapo kwenye kamba na mbuzi tu..
Mwishoni asimuache mwanamke bila mimba..
Ndoa za zamani tunazozisema sana kuwa zilidumu sio kwamba hazikuwa na usaliti hapana bali ni kwamba wazee wetu waliwekèza kwenye familia sisi tunawekeza kwenye hisia kitu ambacho kinavunja sana ndoa..
Mabibi zetu walichepuka kwenye mashamba na vichaka vya visimani na wazee wetu walikaa juu ya miti kuwawinda wake zao na kuwashushia kichapo.
But kwakuwa kuna zaidi ya wake wawili so huyu hata akiamua kukimbilia kwao
Bado atarudi tu maana ni kweli kosa kafanya na mume kajua na adhabu katoa na issue imeisha na maisha yanaendelea na hakuna aibu kwa mume maana ana wake wengi.
Ila sisi kwanza maisha yanatunyorosa na tunahimizwa kuwekeza kwenye uzao wa mwanamke mmoja kitu ambacho kinarudi kututafuna hapa..
Nimefuatilia mada nyingi hapa jamii forum za usaliti wa mwanamke nikaona ushauri wa watu wengi ni kuachana,, Hii inaonyesha jinsi sisi wanaume tunavyowekeza zaidi kwenye hisia kitu ambacho bado hakitusaidii sana sisi..
Yaani unamuacha mke aliegongwa na akina saidi na Hamza kisha unakwenda kuoa mwingine aliegongwa na James na Peter ukijifariji eti ni mpya?
How maana nae ataendelea kugongwa na wengine so ujiandae kuoa na kuacha kila mara sio?
Xi Jinping Natafuta Ajira Zemanda Intelligent businessman