Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Waafrica Bwana daah Akili Matakoni kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa wewe kuwa mzungu mkuuWaafrica Bwana daah Akili Matakoni kweli
Achana na hiyo chain Mkuu.Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Umepotea sana umepata bwana la kidhungu?Mmmh,.
Sasa mimi fikra zangu zinanituma wewe ni robotAm not a robot mkuu
Shukran mkuu nitafanya hivyoAchana na hiyo chain Mkuu.
Cha pili huyo mwenye dharau usitegemee atakuja kubadilika never!! Bora amekuonesha mapema.
Mwisho....Ulizia historia zao tangu utotoni, Oa aliyepitia maisha magumu.
Sawa mkuu nimekuelewa shukran kwa ushauriUshauri wangu.
1.Dini muwe mnaendana.
2.Elimu hata mkizungumza kitu kuna sehemu mnakutana.
3.Tabia njema .
4.Upendo huu unakuja mwishoo.Ukimpenda mtu hata madhaifu yake utamfichia ila usipolipenda jitu hata likikufanyia jambo zuri tu.Unaona kama anakuletea miyeyusho tu.
Mwenye hivyo kati ya hao watatu vigezo tia ndani tajiri na usichelewe sana kupata mtoto au watoto .Hizo ndio alama zetu muhimu tutaacha hapa duniani
Huu ni mtizamo wangu binafsi.
Huyo ndo pambana nae mkuu.Huyo mwenye tako kubwa
Shukrani mkuuOa mwanamke anakupenda utanishukur baadae
Niko nalea😬😄,. Nipigie kwani nikwambie kituUmepotea sana umepata bwana la kidhungu?
20 years alf single maza,damnnn .Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Eeeh ndio ukweli huoWe sema kweli😃😆,. Eti akili nying na madini
Nwei my Pm is open
Yeah tena watoto mapacha halafu mbaya zaidi ana mshono kudaadekii20 years alf single maza,damnnn .