Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah verry smart mkuu pia ni mature enough ule utoto utoto tayari umeshamuishaHuyu mwenye t*Ako kichwani yupo vizuri?
Au nyeto imenoga au pengine god ashamuita mwane2Atakuwa kaoa 🤣🤣🤣🤣
Yeah kwa dunia ya leo hicho ni kitu muhimu cha kuangaliwaKumbe kutoomba hela ni sifa mpya ya U-wife material?🤣🤣🤣🤣
Umeeleweka mkuuHatua ya kwanza ya mafanilkio ya mwanaume ni kuweza kuzitawala hisia zake za kingono.. ukishindwa hapo kazi unayo
Melancholic nilidhani ni mimi tu kumbe wanaume wengi tumevutiwa na huyu mwenye matako hiyo sura ya babaake wala hatujali ila tako babu takoooo!!Naomba picha ya mwenye sura ya baba tumuone na tako lake
Sasa kati ya wote huyo single mother ndio anaonekana kunipenda kuliko wote japo ni mdogo ana miaka 20 tukijana,
hatuoi tako wala sura. Sifa ya kwanza ya mke je ni ana hofu ya Mungu? ana huruma na wewe? akishakuwa na hivyo viwili then unaweza angalia hayo mengine ya maumbile.
Achana na single mother ingali wewe huna mtoto/hukuwahi kuoa.
Sawa mama la mamaMuwe unapitia na page ya Trump au CNN kabla hujafanya maamuzi..!!
Sawa mkuu nitafanya hivyoKaka zingatia sana maana mi tayari npo kwenye ndoa kwahiyo kidogo nina uzoefu na nilichokwambia
Kweli mkuu na jana kanitumia txt ya kuumiza sanaMelancholic nilidhani ni mimi tu kumbe wanaume wengi tumevutiwa na huyu mwenye matako hiyo sura ya babaake wala hatujali ila tako babu takoooo!!
Kingine fuatilia historia ya familia unayotaka kutoa mke,angalia mambo ya magonjwa ya kurithi,uchawi n.kSawa mkuu nitafanya hivyo
zinaniacha hoi na kunifikirisha are you robot? Maana kila thred lazima u comment tuDuh aiseee
Ni kweliVijana mnachafua destiny zenu kwa tamaa ya ngono.
Hili la msingi sana mkuu shukranKingine fuatilia historia ya familia unayotaka kutoa mke,angalia mambo ya magonjwa ya kurithi,uchawi n.k
Sio unaona mtoto wa watu mzuri unakurupuka kumuweka ndani
Kipenz changu😍Ni kweli
Mmmh,.wewe sio mwanaume, kijana wanaume hua wanaangalia mahali bora alafu moyo unafata
Nani kasemaKipenz changu😍
Meseji zako
zinaniacha hoi na kunifikirisha are you robot? Maana kila thred lazima u comment tu
Acha ujinga unataka hao wengine akaoe nani?Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Text gani!Kweli mkuu na jana kanitumia txt ya kuumiza sana