Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

Gono hana mkuu kuna kipindi nilikuwa nina wasi wasi nae sana akaniambia ni presha zangu tu yeye hana hana shida na condom imeshapasuka mara kibao lakini natoka vzr tu mkuu
Unapasea condom una kuni kubwa kiasi gani maana condom 1 inajaza maji ya lita 20 na zaid yaan ndoo ya lita 20 unaweza ukaivisha condom na isipasuke
 
Ni yupi kati ya hao ukilala nae na ukienda kwenye mishe mambo yanajipa?!
 
Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.

Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.

Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.

Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.

So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.

Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala

Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Ipo siku utakumbuka huu ujinga ulioandika hapa na utajitukana mwenyewe.
 
Hakuna ata mmoja utamuoa hapo, take it from me
 
Back
Top Bottom