Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Sijamuona wa tatu hapoHapana ni huyo wa tatu mwenye miaka 20 pisi kali yupo 23 hana mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamuona wa tatu hapoHapana ni huyo wa tatu mwenye miaka 20 pisi kali yupo 23 hana mtoto
Black mwenye nitako sura ya babaUngeruka na yupi?
Sawa mkuu nishauri kama unawazo piaHujakua hata bado mtoto kbs kwasababu hujui unataka nini.
Wew utakuwa una miaka 26😃Hapana ni huyo wa tatu mwenye miaka 20, pisi kali yupo 23 hana mtoto
Huyo pisikali anaekuonyesha chuchu anakuuziaNiachane na yupi?
Yeah hata jana kaniuliza hivyo kama kweli nipo serious anataka kumizalia mtotoMwanamke unamwambiaje mwanaume nioe 😃
It doesn't matterWew utakuwa una miaka 26😃
Hapo wanaonipenda nadhani ni wawili tuKwa ninayayaona na niliyojifunza chagua anaekupenda sana na ametulia mtunze Mpe tabasamu utashangaa
Ahsante mkuuPole sana kijana.
Oa hilo black lenye matako sura ya baba utanishukuru achana na hao wengine wapuuzi watakutia sononaHapo wanaonipenda nadhani ni wawili tu
Sawa mkuu naruka na huu ushauriBlack mwenye nitako sura ya baba
Nndio ila mpime gonoSawa mkuu naruka na huu ushauri
Rudia kusoma yupo ndio huyo ww mwisho ambae tuponae kitaaSijamuona wa tatu hapo
Ahsante kwa taarifa.Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.

Acha Umalaya mkuu
Mimi muonekano wangu ni mzr broJaribu kubalance, kama wewe mwenye ni "sura personal" opt kwa huyo mrembo and the vice versa! Usije tesa watoto wakakosa wachumba kwa machaguo yako mabovu.
Una faida mwanetu 😁😁Bro huyo dem mzigo anao c mchezo mpaka sometime naonaga jau kuongozana nae
Huyo single maza ni bomu la baadaeUnamaanisha nini mkuu
Gono hana mkuu kuna kipindi nilikuwa nina wasi wasi nae sana akaniambia ni presha zangu tu yeye hana hana shida na condom imeshapasuka mara kibao lakini natoka vzr tu mkuuNndio ila mpime gono