Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

Chukua pisi kali iliyonyooka ufaidi maisha Ila watoto wako utawatafutia mama bora wa kuwalea.

Na usihofu kama sasa hivi unaona umechanganyikiwa maana mmoja kati yao akipata ujauzito. Atakusaidia kufanya maamuzi kirahisi
 
Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.

Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.

Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.

Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.

So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.

Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala

Note:huyu ambae nipo nae home ni binti wa miaka 20 but ni single mother wa watoto mapacha
Single maza toa kabisa akilini jadili amnao hawajazaa kijana unaoaje single maza
 
Mkuu chukuwa hiyo pisikali kwa sababu anakuonesha rangi zake halisi. ukiburi, kuomba hela. Hao wasio kuomba wewe hela juwa wanakuigizia tu (kama hawana vyanzo rasmi vya kipato)

Kuna chibonge mmoja alikuwa anaitafuta ndoa kwangu, alikuwa hali sana akija geto. Mpaka nikawa namuuliza, Asma (jina feki) huo mwili mbona haupungui wakati huli sana!
Yeye: Ndiyo nilivyo yaani huu mwili hata nifanyeje haupunguwi.

Baada ya penzi kuvurugika siku napata habari kutoka kwa mtu wa ndani kwao, Kumbe demu anakula hadi anakokota/anaparata chungu siku wakipika ugali.
 
Back
Top Bottom