Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #21
Kwanini mkuuhuyo wa kwanza ndo anakufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuuhuyo wa kwanza ndo anakufaa
Inaweza kuwa hasara sii kwake ila familia yakemaamuzi madogo kama haya unashindwa kuja na solutions mtoto wa kiume kama wewe ni hasara
Anza na huyu...Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala
Yes nampenda huyo dem coz pia ajawahi kuzaa tatzo ni mtu wa gharama sana nikisema nisetle nae nitashndwa kupiga hatua kimaishaAnza na huyu...
"...huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo."
In a very serious note: kwa nini unataka kuoa?Sina huo uwezo mkuu
Nahitaji kuwa na familia mkuu coz umri wangu saiv umefikaIn a very serious note: kwa nini unataka kuoa?
Umejiandaa kuchapiwa?Nahitaji kuwa na familia mkuu coz umri wangu saiv umefika
Mbona jibu unalo alafu unaanza kuuliza mambo ya ajabu?Yes nampenda huyo dem coz pia ajawahi kuzaa tatzo ni mtu wa gharama sana nikisema nisetle nae nitashndwa kupiga hatua kimaisha
Hakuna taarifa kamili za hao candidates, ni ngumu kukupa ushauri, hapo nimeshindwa kupata ODDSWakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae. Ana mapenzi ya dhati aombi hela ovyo pia hana dharau.
Nikaja nikatongoza mwengine huyu sasa ndio moyo wangu upo ni mzuri sana pisi ya kwenda tatzo lake ni mtu mwenye kiburi, anapenda maisha ghari kiufupi sio wife material tatzo ndio moyo wangu upo.
Sasa kuna huyu wa tatu ni wife material kabisa aombi hela, mtulivu sana kuliko hata wa kwanza anapenda kuolewa akija home ni mtu wa kufanya usafi kama kunifulia na vitu vingine japo sura yake sio nzuri sana ila ni mzr kuliko wa kwanza. Kila siku ananitumia meseji kuniuliza kama kweli nitamuowa na mbaya zaidi yupo mtaani kwangu kabisa kiac kwamba imekuwa ngumu hata kuleta mwanamke mwingine.
So hapa ndugu zangu nashindwa nimchague yupi sababu kila mmoja ana sifa zake na kusema niwaowe wote siwezi. Coz pia nahitaji kutimiza ndoto zangu so nikishawaweka hawa wote hapo nitakuwa nimejichimbia kaburi la umaskini kuna muda naweza kusema namuacha fulani akinicheki tu kwa simu tayari nabadilisha maamuzi.
Kama jana niliapa ile pisi kali lazima niibwage kisha nichague mmoja kati ya hawa wife material lakini toka asubuh nilikosa amani kabisa imefika asubuhi ya leo dem c akapiga videocall akaanza kunionyesha chuchu zake aisee ile nguvu ya kumuacha ikaondoka pale pale. Mpaka sasa hivi nipo sielewi cha kufanya yani nomekuwa kama fala qmamk
hapanaUmejiandaa kuchapiwa?
😀😀😅Hakuna taarifa kamili za hao candidates, ni ngumu kukupa ushauri, hapo nimeshindwa kupata ODDS
Yeah mkuu mapacha na saiv wana miaka minne inaonekana ujauzito alipata akiwa na miaka 15Miaka ishiri ana watoto 😂
Mtoto ana mtotoYeah mkuu mapacha na saiv wana miaka minne inaonekana ujauzito alipata akiwa na miaka 15
Kweli mkuu na kwanini uniambie nimchukue huyu anaependa pesaOa huyo anayependa pesa.... Hao ambao hawaombi pesa na wako tayar kulala Njaa kwa kivuli cha Kukuvumilia hawakufai kwenye safar yako.
Nb.
Ndio shida ya Kuonja onja hiyo.. hapo unataman uchukue vitu vyote vizuri ( Tabia) vikae kwa mwanamke mmoja ndio umuoe
Ni shida mkuu na huyu wa kwanza pia aliwahi jifungua mtoto akafiriki ila alijifungua kwa upasuaji ana miaka 26 now huyu msomi na mpenda pesa ndio hana mtoto na ana miaka 23Mtoto ana mtoto