Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

Achana na hiyo chain Mkuu.
Cha pili huyo mwenye dharau usitegemee atakuja kubadilika never!! Bora amekuonesha mapema.
Mwisho....Ulizia historia zao tangu utotoni, Oa aliyepitia maisha magumu.
 
Ushauri wangu.
1.Dini muwe mnaendana.
2.Elimu hata mkizungumza kitu kuna sehemu mnakutana.
3.Tabia njema .
4.Upendo huu unakuja mwishoo.Ukimpenda mtu hata madhaifu yake utamfichia ila usipolipenda jitu hata likikufanyia jambo zuri tu.Unaona kama anakuletea miyeyusho tu.
Mwenye hivyo kati ya hao watatu vigezo tia ndani tajiri na usichelewe sana kupata mtoto au watoto .Hizo ndio alama zetu muhimu tutaacha hapa duniani
Huu ni mtizamo wangu binafsi.
 
Achana na hiyo chain Mkuu.
Cha pili huyo mwenye dharau usitegemee atakuja kubadilika never!! Bora amekuonesha mapema.
Mwisho....Ulizia historia zao tangu utotoni, Oa aliyepitia maisha magumu.
Shukran mkuu nitafanya hivyo
 
Sawa mkuu nimekuelewa shukran kwa ushauri
 
Reactions: EEX
Leejay49 naomba unishauri jambo japo ni privacy kidogo ukiwa kama mwanamke mwenye akili nyingi na madini ya kutosha naamini utanipa ushauri mzr
 
20 years alf single maza,damnnn .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…