Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

Home First

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
609
Reaction score
247
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
 
na kubold umebold ....
 
na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado

[emoji121][emoji121]
[emoji28][emoji28]we ni mwehu nenda hospital kwanza afu una miaka 33 sio vzuri kua mjinga ujue ..
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
Mkuu inabidi upigwe shoti ya umeme kwenye kichwa ili kuushtua ubongo ili kuu reset to the default settings yawezekana kabisa kukawa na shida ya settings zako za Cerebrum na Medulla Oblongata hazijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom