Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini si mmemuelewa!!! Pole mamy mpigie simu umsikilizi kiburi hakijengi muombe msamaha ikibidi!jitahidi kua kua mvumilivu na kupunguza matani!wewe hujui matumizi ya (aya, vituo, full stop, viulizo, mshangao!! )
Una umri gani?
Okay Mkarolina, nakushauri uwe real kwenye mapenzi ili usijeumizwa tena. Siku hizi hakuna kubembelezwa kuna kubembelezana.
Inaelekea una vichembe vya kiburi na jeuri, unaringaringa fulani, na hujali hisia za mwenzio, na wala hujui kuomba msamaha. We unachukulia kila kitu poa tu. Mapenzi yanahitaji effort mamaa.
Hakuna kitu kibaya kama kunyanyang'anywa tonge wakati mimate imeanza kudondoka.
Nimepata shida kuisoma, anyway mi naona ni childish love!! Halafu inaonekana wewe sio mdadisi, hujauliza adui yako ina maana gani, yaain wewe kila kitu unachukulia utani mpaka ukafika home, huyo swit yako anaonekana anakupenda bt wewe waonekana ni child ndio maana Gaijin anakuuliza how old are u??
Dah, Mko na umri gani? maana hii kesi inaweza kuamuliwa ktk upeo huo pia.
Umri wako bado mdogo. Inaonyesha wewe bado ni mgeni kwenye mapenzi i.e mapenzi yenu ni ya kitoto.
Kwa umri wako sijui hata nikushauri nini mpenzi, na hata nikianza hapa sidhani utaelewa kitu@ Kubingwa. Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?
Duuuh! G umeuliza suali nililotaka kumwuliza..Una umri gani?
Asee! Subiri tena baada ya sa moja umpigie umsikilize. Kwa ushauri tu ni kwamba mwangalie sana huyo mpenzi wako, anaonekana bado hajakua vizuri, ana mambo ya kitoto sana, anapenda kukasirika hovyo...usipojihadhari mapema atakuja kukusumbua ukishakuwa mke,..ana maneno mengi hayana maana....vinginevyo nyote wawili bado hamjakuwa kiakili..@ Kubingwa. Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?
Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?
21 unaeza kuwa mke kabisa kama akili imetulia. Umri sio tatizo nyie ndio hamjajipanga. Hamjui hata mnataka nini kwenye hayo mapenzi yenu...sasa huyo mpenzi anataka mke mwingine zaidi yako?...@ Likwanda mm nina miaka 21 na yeye anamika 24