Nishaurini nisiumie tena jamani..

Nishaurini nisiumie tena jamani..

Umri wako bado mdogo. Inaonyesha wewe bado ni mgeni kwenye mapenzi i.e mapenzi yenu ni ya kitoto.
 
Tamthilia, Thamthilia, tamthilia. Wani Migel na Maricui wanagombana hata hawajui sababu ya kugombana.
 
Mpigie simu uongee naye,omba msamaha wa dhati na uahidi kubadilika,punguza utani kwan sio mda wote wa utani,jitahidi kumsoma ujue ni mtu wa aina gani,aina ya maongezi anayopenda,na km ni mtu wa kuwa na moods jifunze namna ya kuzihandle!
 
Huyo wako tu mkarolina; kumbe kauzuia kupiaga simu tu! tumia muda huu kwenda mara nyingi kwake!
 
wewe hujui matumizi ya (aya, vituo, full stop, viulizo, mshangao!! )
lakini si mmemuelewa!!! Pole mamy mpigie simu umsikilizi kiburi hakijengi muombe msamaha ikibidi!jitahidi kua kua mvumilivu na kupunguza matani!
 
siku zote ukikopi habari mahali na ukaja kuipaste hapa jf hata kama kule ulikokopi ilikuwana aya...huku jf itaonekana kama hii....swal..mleta thread ndo mhusika?
 
@ Gwesepo. Asante so unamaanisha yeye alikuwa serious? kama ndio nifanyeje sasa?
 
mpigie simu umjulie hali , atakavyokujibu ndo utapata mwanga kama ilikuwa ni hasira au utani na pia utajua utaendeleaje nae katika maongezi
 
@ Kubingwa. Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?
 
katika hayo mengi mliyoongea kikubwa zaidi ni kipi??
 
Una umri gani?

Okay Mkarolina, nakushauri uwe real kwenye mapenzi ili usijeumizwa tena. Siku hizi hakuna kubembelezwa kuna kubembelezana.
Inaelekea una vichembe vya kiburi na jeuri, unaringaringa fulani, na hujali hisia za mwenzio, na wala hujui kuomba msamaha. We unachukulia kila kitu poa tu. Mapenzi yanahitaji effort mamaa.

Hakuna kitu kibaya kama kunyanyang'anywa tonge wakati mimate imeanza kudondoka.

Nimepata shida kuisoma, anyway mi naona ni childish love!! Halafu inaonekana wewe sio mdadisi, hujauliza adui yako ina maana gani, yaain wewe kila kitu unachukulia utani mpaka ukafika home, huyo swit yako anaonekana anakupenda bt wewe waonekana ni child ndio maana Gaijin anakuuliza how old are u??

Dah, Mko na umri gani? maana hii kesi inaweza kuamuliwa ktk upeo huo pia.

Umri wako bado mdogo. Inaonyesha wewe bado ni mgeni kwenye mapenzi i.e mapenzi yenu ni ya kitoto.

dah nakumbukia enzi nina umri wa huyu bibie

@ Kubingwa. Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?
Kwa umri wako sijui hata nikushauri nini mpenzi, na hata nikianza hapa sidhani utaelewa kitu
 
Utoto wawasumbua.
Mkikua mtaacha.
OTIS.
 
Wewe na huyo mpz wako wote watoto,con sababu ya nyie kununiana hapo!
 
@ Kubingwa. Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?
Asee! Subiri tena baada ya sa moja umpigie umsikilize. Kwa ushauri tu ni kwamba mwangalie sana huyo mpenzi wako, anaonekana bado hajakua vizuri, ana mambo ya kitoto sana, anapenda kukasirika hovyo...usipojihadhari mapema atakuja kukusumbua ukishakuwa mke,..ana maneno mengi hayana maana....vinginevyo nyote wawili bado hamjakuwa kiakili..
 
Nimepigia tumeongea mengi sana na anasema kwamba yeye anahitaji kuwa na mke na co mpenz tena thats why jana nilivyomkuta anafua alikasirika sana kwann sikufua mm... Hatujaelewana ameniambia nimpigie baada ya saa mouja. Cha kushangaza ananiambia eti mm namdharau kwa sababu ya pesa of which sio kweli. Jaman mm nitafanya nini ili arudi kwenye Mood?

Mpigie simu wakati umetulia na uombe msamaha yaishe. Jaribu kujishusha kwake kama ukiona hali yaendelea hivyo itabidi uendelee na maisha yako
 
@ Likwanda mm nina miaka 21 na yeye anamika 24
21 unaeza kuwa mke kabisa kama akili imetulia. Umri sio tatizo nyie ndio hamjajipanga. Hamjui hata mnataka nini kwenye hayo mapenzi yenu...sasa huyo mpenzi anataka mke mwingine zaidi yako?...
 
Hivi nyie mnapendana kweli? Wewe na huyo mpenzi wako inaelekea wote mnajidai, kila mtu anataka kujifanya mwenzie ndio kamfia zaidi shauri yenu mzaha mzaha hutunga usaha...sasa huyo mkaka aje akutane na mdada ambaye yuko responsible kimapenzi au wewe ukutane na mkaka responsible unategemea nini..
 
Mapenzi ya ki-bongoflavor yana tabu kweli.
 
@ Madam T. Mimi ninajitahid sana kujishusha kwake ili tusiachane ila nawaza tena c unajua hawa kaka zetu wakishajua wanapendwa sana wanazidisha pozi na manyanyaso?
 
Back
Top Bottom