Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,707
Reaction score
6,437
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana

if we click we click if we don't we won't

Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣


embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
 
Kama hajatokea mtu akasema hii ni chai nabweka hapa hapa.
lazima atatokea weak man

kuna siku nilikuwa kwenye hiace naenda zangu kazini akaja dada mmoja alikata pembeni yangu akusamilia wala nini chuma ikanza safari konda akachua nauli zake pale sasa yule mdada akatoa elfu tano konda akamrudishia elfu 3000 kumbuka muda wote hajanisalimia sasa alivyorudishiwa hiyo chenji ndo akaniuliza nauli ya hiace bei gani ?? mimi bila hiana nikamwambia Elfu saba
 
Back
Top Bottom