Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

20250303_195845.jpg
 
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana

if we click we click if we don't we won't

Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣


embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Ilimwathiri vipi kiuchumi,kimaisha kwa ujumla?
 
nipo kwenye gari
20250222_201157.jpg
eti limekuja kukaa bila kusalimia baada ya muda linaniuliza leo chungu cha ngapi tena huku linatabasama halafu ni li-single mother nitamjibu sifatiri mpira
 
Back
Top Bottom