cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee em sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]Kunitangaza kama nilikulia misunjo ya buku jero kwenye gari[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee em sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]Kunitangaza kama nilikulia misunjo ya buku jero kwenye gari[emoji38][emoji38]
Ilimwathiri vipi kiuchumi,kimaisha kwa ujumla?unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo nkanunua Zangu Chips Na majuisi na maji Safari ikaendelea tulivofika vyawa Eti Ananiuliza Hapa Ni Wapi nikamjbu Nika Mwambia Hapa tupo Boda Ya Zambia Tunaelekea Congo Alianza kupiga Kelele kwenye Gari Eti kondaaa nishushe me Congo siendi walimuona kaa Mwehu 🤣🤣
embu lete experince yako yeyote uliwahi kutana nayo ya watu wasiojua kusalimia💥
Ilimwathiri vipi kiuchumi,kimaisha kwa ujumla?