Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Sio siri huyu jamaa wakati anaanza nilikua namdoubt kidogo nikijaribu kulinganisha na watu ambao tayari walikua wameshajiestablish kwenye tasnia ya kutengeneza videos za wasanii kama vile kina AJ, kalaghe etc.

Ila uwezo aliounesha si kitoto, jamaa ameshafanya vichupa kama vile Sijutii- Joh Makini, Listen- Belle 9, Maktaba- Bonta, Jikubali- Ben Pol, Kijukuu- Young Dee, Nakomaa na jiji- Shilole na hiki kioo kipya cha Nje ya box cha weusi ambacho ni kikali pia.

Thumbs up kwa Nisher.


N.jpgN1.jpgN3.jpgN4.jpgN5.jpg
 
Kumbe maktaba ya bonta alifanya yeye,pale hakufanya poa sana,labda budget ilimkaba ila kwa sasa yupo hot he is taking our bongo videos to the next level,alipoishia adam juma yeye ndo anapopaendeleza big up to him,asilemae akaze buti na sometime awe anashauriana na directors wenzake kupata maideas zaidi,
 
Picture quality safi sana.Lakini Script bado sana,pia wakati mwingine anashindwa ku link vizuri picture na mdundo mfano video ya nje ya box.Atafute video director,yeye a stick na shooting,he is gud in pictures but not directing.
 
mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?

kunani jamani?

attachment.php


wanapaka lipshine sijui lipbumb mpk kila mtu anaiona wanafikiri sijui akina jay zee,go na weezy huwa hawapaki??? cha msingi uondoe ukavu mdomoni lakini hawa wamezidisha....
 
Back
Top Bottom