donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Sio siri huyu jamaa wakati anaanza nilikua namdoubt kidogo nikijaribu kulinganisha na watu ambao tayari walikua wameshajiestablish kwenye tasnia ya kutengeneza videos za wasanii kama vile kina AJ, kalaghe etc.
Ila uwezo aliounesha si kitoto, jamaa ameshafanya vichupa kama vile Sijutii- Joh Makini, Listen- Belle 9, Maktaba- Bonta, Jikubali- Ben Pol, Kijukuu- Young Dee, Nakomaa na jiji- Shilole na hiki kioo kipya cha Nje ya box cha weusi ambacho ni kikali pia.
Thumbs up kwa Nisher.