.mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?
kunani jamani?
.
ɐgoɥsıʞ ɐz ılıɐʇs ıu ozıɥ eʇoz
.
.
Unlike other Tanzanians,I'll be honest with you people..
1.Nisher is overrated
3.The worst video stories,bora hata Kallaghe kila saa kuweka picha na bakuli la matunda
4.Something is really wrong with his video colour management,asipofanya ishine sana basi itakua giza sana.
Mwisho..seriously kuna watu wanamfananisha huyu na nguli Adam Juma? Mnaangalia video au mnahadithiwa
ungepita tu mkuu...
Nlickia n kid wa pastor hapa a town kumbe dogo wa ngurumo ya upako.......Geor DaVie's son,,,ooh I feel pitty for the pastor
mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?
kunani jamani?
huu ni mpunga unaokobolewa na kuwa mchelembona kama punga na hilo domo.....hadi kinyaa
ongezea hereni na mapowderjina lenyewe bebeee.......unategemea nini hapo na io milips ya kung'aaaa??????
Jina: Nisher bybee
Mavazi: suruali za kubana
Muonekano: lips za kung'aa, hereni mbili...
Kinachofuata: kupewa VX na chief kiumbe...
mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?
kunani jamani?
Geor DaVie's son,,,ooh I feel pitty for the pastor