Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

mbona naona lips za washkaji zinang'aa hivi?

kunani jamani?

attachment.php
.
ɐgoɥsıʞ ɐz ılıɐʇs ıu ozıɥ eʇoz
.
.
 
Unlike other Tanzanians,I'll be honest with you people..
1.Nisher is overrated
3.The worst video stories,bora hata Kallaghe kila saa kuweka picha na bakuli la matunda
4.Something is really wrong with his video colour management,asipofanya ishine sana basi itakua giza sana.

Mwisho..seriously kuna watu wanamfananisha huyu na nguli Adam Juma? Mnaangalia video au mnahadithiwa
 
I co-sign with you the "gu(a)y is overrated sio mkali kiviile ila anajua kiasi chake
 
(S)He is so cute...
Hivi ziko wapi zile sura za kiume za zamani? Kujiremba ndio imekuwa kazi sasa mjini, si wanaume wala wanawake. Miaka ile walivyokuwa wanafanya hivyo Wakongo, watu tuliwachukulia ndivyo sivyo. Sasa janga hili limekuja TZ. Kweli mwenzio akinyolewa, .......

"Nlikuwepo":bolt:
 
Samahani lakini,huyu mtu inaelekea ana-sniff!!!
 
Yuko vizuri,lakini bado sijafikiria kumfananisha na Adam coz bado hajafanya video za kutosha zenye kiwango bora kama Adam,akifanya kama 50 hivi zenye ubora wa 'nje ya box' ntampa salute zangu zote.Anyway nampongeza kwa pale alipofikia ni pazuri
 
Kimugina ya linex katengeneza yeye?

Mana kideo kikali alafu celewag kakifanyia kwa nan?
Ila kijukuu ya young d jamaa kafanya poa sana,AJ haingii hapo
 
Makubwa sio mzima huyu wallah mwanaume kujipodoaa
 
Geor DaVie's son,,,ooh I feel pitty for the pastor

Na anayehitaji watoto wake wakue katika maadili huwa wanakesha kwa pastor (mdingi wake) kufanyiwa maombezi.........plus sadaka ya kusindikiza maombezi........
 
Mtoto wa mchungaji huyo hahaa kweli ndo maana Roma kwenye K..k.K aliimba
"Unaweza sali uzae chema ukazaa Shoga na Msagaji, Mpagani abakwa akazaa Padri"
 
Back
Top Bottom