Aisee.....kweli dunia uwanja wa fujo.Hata anayewala naye ni GAY,ila anayeliwa anaitwa Bottom,anayekula anaitwa Top,lakini wote ni chama moja
Ngoja nikutafutie thread fulani za kitambo zifufue uone uchafu wa huyu mwanamke. Ni msagaji mkubwa wa kinondoni hukojamani mimi siamini aisee.
Hahahahah......uwiiiiii.Ngoja nikutafutie thread fulani za kitambo zifufue uone uchafu wa huyu mwanamke. Ni msagaji mkubwa wa kinondoni huko
hii inamaanisha muosha huoshwa.U-superstar raha sana.
Mara hii mada ishageuka ya Madame B....chezea
Mjini sihani kabisa kwa kiki hii.
Hiyo utajua wewehii inamaanisha muosha huoshwa.
Sasa man, Mwanaume kubishana na mwanamke ndo Nini aisee!?Ngoja nikutafutie thread fulani za kitambo zifufue uone uchafu wa huyu mwanamke. Ni msagaji mkubwa wa kinondoni huko
Ww jamaa ni kichwa maji sana mwanaume unabishana na mwanamkeNgoja nikutafutie thread fulani za kitambo zifufue uone uchafu wa huyu mwanamke. Ni msagaji mkubwa wa kinondoni huko
Karibu, kwa mzaliwa wa Tanga mwenye makazi mjini.Ha ha ha Mungu anisamehe, siku nikikuelewa juu ya andishi hili nahamia Tanga!
Ana kazi gani huyo wakati conversation zake zilivuja anachat na jamaa wa dubai wanaelewana bei ya uchi na terms za kwenda hukoKachambwa insta kuwa asiwadanganye watoto wa kike kuwa anafanya kazi huko Ulaya ndio maana ana maisha mazuri....kumbe muuza sukari tu.
kachambwa sana
Niliion japo alikanusha kuwa sio yake.Ana kazi gani huyo wakati conversation zake zilivuja anachat na jamaa wa dubai wanaelewana bei ya uchi na terms za kwenda huko
Naona umeonja umenogewaMie nataka marinda yako jmn @Madame B
Yaani madame B inauma sana. Ninavyo vitatu very HB natamani vingekua videm tu bora.Mungu anusuru watoto zetu wa kiume
Waombee, jitahidi malezi wawe na Hofu Ya Mungu, wafanye rafiki zako sana au mama yao wawe wanaweza kushare siri zao kwenu wazazi, usimuamini mtu kwenye malezi ya watoto wako hata kama ni ndugu sijui wajomba sijui kina nani wanakuja home usiwalaze na watoto wako, I don't prefer boarding schools for boys (mie lakini), wajengee ile hali ya kujiamini wasiwe wanaonewa onewa wawe wanaweza kufight back kukomaa kiume...... Sahivi kulea mtoto wa kiume ni kazi kuliko bintiYaani madame B inauma sana. Ninavyo vitatu very HB natamani vingekua videm tu bora.
Jamani vilinde mkuu mabazazo wamejaaYaani madame B inauma sana. Ninavyo vitatu very HB natamani vingekua videm tu bora.
Mpendwa kulea mtoto Wa kiume sio kazi kama wakike, sema nyie mnakoseaga sana.. Usimlee "ki mama mama".. Usimchanganye na madada zake..Waombee, jitahidi malezi wawe na Hofu Ya Mungu, wafanye rafiki zako sana au mama yao wawe wanaweza kushare siri zao kwenu wazazi, usimuamini mtu kwenye malezi ya watoto wako hata kama ni ndugu sijui wajomba sijui kina nani wanakuja home usiwalaze na watoto wako, I don't prefer boarding schools for boys (mie lakini), wajengee ile hali ya kujiamini wasiwe wanaonewa onewa wawe wanaweza kufight back kukomaa kiume...... Sahivi kulea mtoto wa kiume ni kazi kuliko binti