Nisher haijui sexual orientation yake?

Nisher haijui sexual orientation yake?

Status
Not open for further replies.
Ana mwanamke

Sio jambo la kushangaa wakati nchini kwetu hiyo lugha sio namba moja, na maneno hayo hayatumiki.

Nao waluomuuliza wangempa kwa kiswahili kama wanakijua....na wanakojua kwa jiyo ni program pumba kwa jambo hilo.

Ana mchumba wake instagram yake ni bata na mahaba yamejaa.
 
Bibie Instagram ndio kipimo cha maisha halisi ??
 
Namfahamu anayetoka nae yaani mwanamke...naishia hapo simaili basi

Sio lazima tumwage ubuyu wote humu pasipobidi
Hahaha nashukuru nimefahamu wewe ndie mkewe ,sasa ukiwa unamfahamu huyo bi dada anayetoka nae pia chumbani unakua nae ?,hii dunia mama imebeba mengi
 
Kwa hiyo kuniita mkewe ndio unaona umepata ushindi au ni upu.pu tu umeandika.

Utajiju muhimu anasimamisha na anampa mwanamke raha

Ka wewe unapokea hutoi utajiju
 
Hahah povu lote la nini hili Sandra teh teh napokea nini? Kwani kusimamisha ndio kuna justify aliwi
??
 
Mwaka mpya mambo mapya ebu acheni unproductive topics whether he is gay or not itasaidia nini?
 
Hahah povu lote la nini hili Sandra teh teh napokea nini? Kwani kusimamisha ndio kuna justify aliwi
??

Acha kuniita majina yasiyo yangu. Una wivu na mwanaume mwenzako duh...unasikitisha.
 
Haya hii dunia na haya maisha ,mara nyingi usipende kuongea kile unacho kijua uwe unasikiliza usichokijua huenda ukapata jambo ,
Na wivu ?? Au namwonea huruma ?? Anyway wewe si unamjua Nisher zaidi ya Sandra sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom