Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Yalikuwa maandazi ya dawaDogo: Hapana sishuki, baba alinambia nikifika chalinze ndo Nile maandazi yangu.πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalikuwa maandazi ya dawaDogo: Hapana sishuki, baba alinambia nikifika chalinze ndo Nile maandazi yangu.πππ
Zamani Kabla sijazaliwa maana haka kahadithi nimekaona sasa na nimekafurahia kweliStory ya zamani hii aiseee.
Kuna kimsemo hivi sasa vijana wanakitumia ati "haya mambo sio mageni jijini labda kwa mgeni wa jiji"
Ndio maana nimekupa hako ka msemo ka vijana wa mjini huenda ni mgeni wa jiji.Zamani Kabla sijazaliwa maana haka kahadithi nimekaona sasa na nimekafurahia kweli
Ndio maana nimekupa hako ka msemo ka vijana wa mjini huenda ni mgeni wa jiji.
Unamkanya aache, awe anawatumia watoto wenzieNina mdogo wangu yuko na 12 yrs now, aisee ananiforwadia meseji za namna hiyo sijui ndo vichekesho, meseji ndefu ndefu za vistory sijui huwa mnazitoa wapi.
Ni kero ila basi tu ni makuzi wacha akue.
Mbona wewe umetuma, muache ni makuzi, na mimi huwa namjibu vizuri tu.Unamkanya aache, awe anawatumia watoto wenzie
PambafuSasa kwani uliitwa huku π€.
π€£π€£ sawq mkuuMbona wewe umetuma, muache ni makuzi, na mimi huwa namjibu vizuri tu.
Dogo alisema daladala likifika mlandizi ndio aambiwe ili ale ndizi zakeHii hadithi niliiona Facebook 2011
Hatutaki vichekesho vya kitoto toto apeleke Facebook ππππmkuu hata humu tunajukwaa la jokes na ameleta sehemu husika hivyo nawewe ushamba wako peleka Facebook
wewe ni zwazwaHatutaki vichekesho vya kitoto toto apeleke Facebook ππππ
Kuna Ile share ujumbe huuNina mdogo wangu yuko na 12 yrs now, aisee ananiforwadia meseji za namna hiyo sijui ndo vichekesho, meseji ndefu ndefu za vistory sijui huwa mnazitoa wapi.
Ni kero ila basi tu ni makuzi wacha akue.