Nishushe Chalinze

Nishushe Chalinze

Story ya zamani hii aiseee.

Kuna kimsemo hivi sasa vijana wanakitumia ati "haya mambo sio mageni jijini labda kwa mgeni wa jiji"
Zamani Kabla sijazaliwa maana haka kahadithi nimekaona sasa na nimekafurahia kweli
 
Nina mdogo wangu yuko na 12 yrs now, aisee ananiforwadia meseji za namna hiyo sijui ndo vichekesho, meseji ndefu ndefu za vistory sijui huwa mnazitoa wapi.
Ni kero ila basi tu ni makuzi wacha akue.
Unamkanya aache, awe anawatumia watoto wenzie
 
Story ya zamani hii aiseee.

Kuna kimsemo hivi sasa vijana wanakitumia ati "haya mambo sio mageni jijini labda kwa mgeni wa jiji"
Yeah miaka mingi tangu nipo seco, lkn ilinasa . Ninazo 3πŸ˜‚ hata ipite miaka mingapi sizisahau
 
Nina mdogo wangu yuko na 12 yrs now, aisee ananiforwadia meseji za namna hiyo sijui ndo vichekesho, meseji ndefu ndefu za vistory sijui huwa mnazitoa wapi.
Ni kero ila basi tu ni makuzi wacha akue.
Kuna Ile share ujumbe huu
Wamechora mti wameandika mtu huu wa upendo zinakera πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom