Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu ruksa jumapili nitasapoti Liverpool ikiwapiga goli 5 nyumbu fc
 
Sijawahi kuona hii..yaani unashamgilia Simba na Utopolo kwa wakati mmoja?!
 
Tafuta kazi ya kukuingizia kipato mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Achana na hizo timu wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20250103_151649_Instagram.jpg
    Screenshot_20250103_151649_Instagram.jpg
    119 KB · Views: 7
Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu ruksa jumapili nitasapoti Liverpool ikiwapiga goli 5 nyumbu fc
Kichaka ulichojifichia kimewaka mapemaa, In football terms, wewe ni destined loser no matter where you go 😄😄
 
Back
Top Bottom