Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hao lugha Yao ngumu sielewi kispanish kwenye komenti za mashabiki naona chenga nikaona Bora nitue anfieldYou will walk alone bora ungechagua matajiri wa madrid
NisipangiweSijawahi kuona hii..yaani unashamgilia Simba na Utopolo kwa wakati mmoja?!
Sina shida ya kipato tafuta kazi wewe masikiniTafuta kazi ya kukuingizia kipato mkuu.
Kichaka ulichojifichia kimewaka mapemaa, In football terms, wewe ni destined loser no matter where you go ππMwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu ruksa jumapili nitasapoti Liverpool ikiwapiga goli 5 nyumbu fc