Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wee dogo mwambie mpigiane hesabu toka umeanza kumla kwa siku moja malipo ni 50000/-, je imebaki sh ngapi au zimeisha na unamdai? Atakufukuza utakuwa umeachana nae.Kuna jimama moja linanipa wakati mgumu kwelikweli,kila nikitaka kumuacha anaweka vikwazo vya kudai hela yake, alinikopesha 4m yake sasa imekuwa fimbo ya kunichapia na mimi uwezo wa kumlipa sina.