Nisingeamua, ningeacha kimemo kama Katibu

Nisingeamua, ningeacha kimemo kama Katibu

Kuna jimama moja linanipa wakati mgumu kwelikweli,kila nikitaka kumuacha anaweka vikwazo vya kudai hela yake, alinikopesha 4m yake sasa imekuwa fimbo ya kunichapia na mimi uwezo wa kumlipa sina.
Wee dogo mwambie mpigiane hesabu toka umeanza kumla kwa siku moja malipo ni 50000/-, je imebaki sh ngapi au zimeisha na unamdai? Atakufukuza utakuwa umeachana nae.
 
Back
Top Bottom