Ndo na mimi najiuliza ni kwangu tu au na kwa wengine wako hivyo
Halafu wanaume hatupendi hivyo ujueMimi spendi kugombezwa lakini huwa inafika wakati natamani tukwaruzane tu kidogo yani nibembelezwe yani hata ninune bila sababu bebe anipakate anibembeleze aniambie maneno mataam ani kiss utam kabisa yani ni kama kudeka hivi kwa mr wangu. daah asikwambie mtu kupendwa raha jamani
Mwanaume wewe ndo hupendi mwanaume wangu anapenda hadi shetani anakimbia wallahHalafu wanaume hatupendi hivyo ujue
Kumbe hata wakurya tusiwacheke maana wenyewe huwa wanaenda zaidi kwa kutoa kipondo ambapo kimsingi wanawake wanaopigwa huwa wanahisi wanapendwaKwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha
Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu kuna sehemu huwa ninakosea lakini mpenzi hanigombezi au haniulizi makosa niliyofanya,huwa nahisi sipendwi
Mwanaume anapokuwa ananigombeza hadi najikuta nalia,najikuta nahisi kupendwa na mwanaume huyo,na huamini kuwa mwanaume huyo ananipenda
Asiponigombeza huwa nahisi kuna mwanamke mwingine anayempenda tofauti na mimi
Naombeni mnisaidie,ni kwangu tu au kuna wengine hali hiyo huwa inawatokea
Anapenda mkwaruzaneMwanaume wewe ndo hupendi mwanaume wangu anapenda hadi shetani anakimbia wallah
Huwa inapendeza sana vikiongozana,kimoja tu haipendeziMakofi hapana, kunigombeza tu
Ipo siku atasema inatosha, moja ya vitu wanaume tulivyoumbwa navyo ni kumchora tu bidada hata kama unajua anadanganya ama anakuzuga kikubwa anachokifanya hakina madhara kwenye mahusiano (atakuwa anakubembeleza mpaka unafurahi lakini moyoni anafanya kama vile tunavyowambeleza watoto wasilie)....tofauti na ubembelezaji wa mtifuano mkali na wa ukweli kweli haswa (hapo ndo mtu anabembeleza serious mpaka unashangaa ndio huyu kweli aliekuwa mbabe)Mwanaume wewe ndo hupendi mwanaume wangu anapenda hadi shetani anakimbia wallah
Anapenda kunidekeza akihisi kuna kitu hakiko sawa baina yetuAnapenda mkwaruzane
Hapo sawa,Anapenda kunidekeza akihisi kuna kitu hakiko sawa baina yetu
Mkuu usidhani tunafanyaga hayo mambo pasipo kutumia akili aseeIpo siku atasema inatosha, moja ya vitu wanaume tulivyoumbwa navyo ni kumchora tu bidada hata kama unajua anadanganya ama anakuzuga kikubwa anachokifanya hakina madhara kwenye mahusiano (atakuwa anakubembeleza mpaka unafurahi lakini moyoni anafanya kama vile tunavyowambeleza watoto wasilie)....tofauti na ubembelezaji wa mtifuano mkali na wa ukweli kweli haswa (hapo ndo mtu anabembeleza serious mpaka unashangaa ndio huyu kweli aliekuwa mbabe)