Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

Cute love sio ww tu. Kwa nyakati tofauti na wanawake tofauti nimeshawahi kuambiwa kiyu kama hiko. Nikashindwa kuelewa ni mafatizo ya omon au hisia? Maana kama mnapenda kupetiwa, kupendwa then inakuwaje mnavutiwa na vipigo?
Ndo na mimi najiuliza ni kwangu tu au na kwa wengine wako hivyo
 
Mimi spendi kugombezwa lakini huwa inafika wakati natamani tukwaruzane tu kidogo yani nibembelezwe yani hata ninune bila sababu bebe anipakate anibembeleze aniambie maneno mataam ani kiss utam kabisa yani ni kama kudeka hivi kwa mr wangu. daah asikwambie mtu kupendwa raha jamani
 
Halafu wanaume hatupendi hivyo ujue
 
Kwenye mahusiano lazima mnakuwa mnagombana na muda mwingine mnafurahia baada ugomvi kuisha

Jamani kwangu mimi, nikiwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu tukaishi kwa muda mrefu na kama binadamu kuna sehemu huwa ninakosea lakini mpenzi hanigombezi au haniulizi makosa niliyofanya,huwa nahisi sipendwi

Mwanaume anapokuwa ananigombeza hadi najikuta nalia,najikuta nahisi kupendwa na mwanaume huyo,na huamini kuwa mwanaume huyo ananipenda

Asiponigombeza huwa nahisi kuna mwanamke mwingine anayempenda tofauti na mimi

Naombeni mnisaidie,ni kwangu tu au kuna wengine hali hiyo huwa inawatokea
Kumbe hata wakurya tusiwacheke maana wenyewe huwa wanaenda zaidi kwa kutoa kipondo ambapo kimsingi wanawake wanaopigwa huwa wanahisi wanapendwa
 
Mwanaume wewe ndo hupendi mwanaume wangu anapenda hadi shetani anakimbia wallah
Ipo siku atasema inatosha, moja ya vitu wanaume tulivyoumbwa navyo ni kumchora tu bidada hata kama unajua anadanganya ama anakuzuga kikubwa anachokifanya hakina madhara kwenye mahusiano (atakuwa anakubembeleza mpaka unafurahi lakini moyoni anafanya kama vile tunavyowambeleza watoto wasilie)....tofauti na ubembelezaji wa mtifuano mkali na wa ukweli kweli haswa (hapo ndo mtu anabembeleza serious mpaka unashangaa ndio huyu kweli aliekuwa mbabe)
 
Mkuu usidhani tunafanyaga hayo mambo pasipo kutumia akili asee
 
Mm pia napenda ona,mwanaume akinigombeza na ile kunitreat km kipenz chake.. ila c kunipiga.. mwanaume ni lazima uoneshe uanaume wako. Kibesi kiasi ukiona kuna shida mahali...😁
 
Back
Top Bottom