Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

mpo katikati ya usingizi midnight unamuamsha unamsemaaa halafu mnalala tena
 
Ni kawaida kwenu,coz tucipofanya ivoo mtatafuta nje wa kuwagombeza.Soo Upo sahihi bidada ucijary
 
Allah is good always
 
Kabula hata sjasoma body ni komenti"AMA KWELI SJUI HAKI SAWA, SJUI UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU HAUKUPASWA KUWEPO AFRIKA. nikasome sasa.
 
Kuja hapa nimekutafuta muda mrefu sana..!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Baba mwenye nyumba wako niliekuhonga milion moja na nusu nipo hapa nimetulia!
 
😳😳😳😳😳😳😳
Ama kweli nyie watu hamtabiliki kabisaaaaaa
 
Na unapogombezwa huwa unajibu mapigo?
 
Unafanyaje kwa mfano, maana usiposema chochote ndo utapandisha hasira mpaka hata vibao vya bahati mbaya utapata.
naondoka. hasira zikiisha narudi. kwanza sikumbuki kuwa chanzo cha kugombana na mwanaume mpaka kufikia hatua ya kurushiana maneno.
 
naondoka. hasira zikiisha narudi. kwanza sikumbuki kuwa chanzo cha kugombana na mwanaume mpaka kufikia hatua ya kurushiana maneno.
Aisee usiondoke ni hatari zaidi. Chukulia mfano, mtoto wako ama mdogo wako amefanya kitu ndivyo sivyo uanze kumgombeza halafu aondoke zake, kuwa mkweli, hasira zako zitaishia hapo?
 
Huu muda wa kufanya yote haya mnapata wapi?
 
Victim..mnapendana drama mnadhani drama ndo mapenzi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…