Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

Hakuna kitu kama hiki cha kusema whatsapp ondoa status hili jambo hapana.
Kuhusu kula mbele ya mtu aliyefunga kibusara nadhani siyo sawa japo siyo kosa . Nadhani ni busara zaidi itumike ili kuepusha undungu wetu.
 
Unakuta mtu ameamua kujishindia njaa mwenyewe Lakini muda huo anamind Maisha ya wengine
 
Kuna mtu alinikuta nakula akaniambia eti huoni aibu kula hadharani....nikacheka tu.
Yaani ninunue chakula kwa hela tangu halafu nijifiche kisa Kuna mtu kafunga...no way..
 
Heshimu iman za watu braza.

Mbona nyinyi mnabadirisha ratiba mnakula usiku mnene, asubuhi mnasingizia kufunga na watu wanawavungia tu.

Mtu anayetundika picha ya muigizaji wa filamu ya Yesu na kumuabudu akidai huyo ndiye Yesu ni chizi anayestahili kuwa wodi ya vichaa kule milembe.
Hakunaga kafiri mwenye akili.
 
Cha kushangaza ni kua mwezi wanaodai ni wa mfungo ndio manunuzi ya vyakula yanaongezeka maradufu.

Nilitegemea wafanyabiashara wa vyakula kulalamikia mauzo hafifu lakini mambo n tofauti kabisa.
 
Mie muslim ila huwa nashangaa sana wenye tabia hizo.

Mie nafunga hata ule nini mbele yangu sishtuki iwe picha?!

Mwaego post kwa raha zako achana nao halafu nauza biryani nzuri ukitaka ni check ila kwasasa nafunga nipo busy na ftari mpaka siku ya Eid.
 
Wengi wao wanashinda njaa kwa kutazamana na kuwindana,yaan mtu anamuhofia mwanadamu mwenzake kuliko Mungu.Na watu wamejikita funga ya chakula tu ila mengine yanaendelea.
 
Wengi wao wanashinda njaa kwa kutazamana na kuwindana,yaan mtu anamuhofia mwanadamu mwenzake kuliko Mungu.Na watu wamejikita funga ya chakula tu ila mengine yanaendelea.
 
Hakuna kitu kama hiki cha kusema whatsapp ondoa status hili jambo hapana.
Kuhusu kula mbele ya mtu aliyefunga kibusara nadhani siyo sawa japo siyo kosa . Nadhani ni busara zaidi itumike ili kuepusha undungu wetu.
Hivi ukifunga/kuacha kula mchana alafu ukawa unasengenya mtu ni dhambi?au dhambi ni kula TU?
 
Ujinga huu mimi wala siuelewi, yaani niache kula kisa majirani zangu wamefunga? Aisee mfl tu kwa njaa zenu za kujitakia, mnang'ang'ania dini za watu ili iweje?
 
Mtu anayetundika picha ya muigizaji wa filamu ya Yesu na kumuabudu akidai huyo ndiye Yesu ni chizi anayestahili kuwa wodi ya vichaa kule milembe.
Hakunaga kafiri mwenye akili.
wasio na akili ni wale wa mabikira 70 na moto ya pombe peponi
 
Mkishakosaga cha kuandika islamophobic mnaokoteza Maneno weee kula vua na nguo kabisa inanihusu nini mimi????

Kwamba Funga yangu itikiswe na ratiba zako una dini yako Nina dini yangu

Vp una lingine???
 
Lakini Tanzania yetu haina huu upuuzi umetokea wapi??ni nani yuko nyuma yake!!!

Huku bara aliyefunga anauza maandazi anunue ale ambaye hajafunga,maana ni jirani yake,kaka yake ama shemeji yake.

Tunatumia akili zaidi ya hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…