Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

Kwa hiyo kwenye hiyo namba 4 yako, unaamini ni hao akina Mdee pekee wasio na sifa humo Bungeni?

Au ni karibia Wabunge wote tu, hawana sifa za kuitwa Wabunge! kutokana na ukweli kwamba wameteuliwa tu na Hayati kibabe, badala ya kuchaguliwa Wananchi?
Kabisa Mkuu...
 
1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa
2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee
3. Mishahara Kupandishwa Maradufu
4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee
5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa
6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu
7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu

Nasisitiza hapa hapa kuwa Generalist ndani ya dakika zangu 30 za Kumsikiliza Mama asipoyagusia haya nazima Tv / Redio na kurejea Chumbani kuendelea Kumuomba 'Israeli' aendelee Kutufurahisha Watanzania kwa namna yake ile ya Kipekee ya 'Kimya Kimya Ghafla Style' tu.
Mkuu mrejesho...
 
Back
Top Bottom