Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

View attachment 2805704
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi

Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca hawastahili kucheza mashindano ya Afrika, kwa wale wanamichezo na si mashabiki watakua wamenielewa, kwa wale wanaoshabikia kwa kigezo cha uafrika/Rangi, mada hii haiwahusu, wakae pending.

Asilimia kubwa ya watu duniani wanawachukia waarabu, japo sio wote, so kwanini uwachukie!! Wamekosa nini hawa watu!!. kuna msemo unasema, "Mti wenye matunda hupigwa mawe" tukubali tukatae waarabu wanajua mpira, wanajua kuucheza mpira watakavyo, hata uwachukie vipi huwapunguzii chochote, ndio kwanzaa wanapeleka🔥🔥🔥 najua asilimia kubwa ya mashabiki wa huku wapo upande wa Mamelodi, sasa mtu huyu kweli utajadiliananae vipi kwenye suala la mpira!! Ni kupoteza muda tu. Huyo mamelodi ni nguvu ya soda tu, many times hafiki kokote, end of the day anatolewa na mnae mchukia/mwarabu, waliobarikiwa, hawatumii uchawi/ushirikina.

Anaejua anajua tu

Not Racism
Tukemee ubaguzi, chuki, roho mbaya na wivu.

Moderator nawaomba msifute uzi huu, kuna nyuzi hazina vichwa wala miguu na mnaziacha, kuna nyuzi za upande wapili za udini, ubaguzi na chuki lakini mnapita kama hamzioni, sasa kwa leo tu nawaomba muuache uzi huu.
Badala useme tunashukuru mpira wa Afrika umekua, kwa upumbavu wako unakuja eti si wa kucheza Afrika, kwa akili yako Afrika ni kwa ajili ya vitu vya hovyo? Post ya hovyo kabisa kutokea!
 
Wydad kwenye finishing aaah salalee ni watu wabaya mno, wanaweza kupata nafasi mbili zote kamba, ukiona on target jua ni kamba, lau kama si hivyo jua wamekosa lakini lazima ushike moyo, Hawa jamaa mpira ni utamaduni wao, wanauishi, wanaucheza, wanauota, wanaula na kuuabudu mpira, mpira ni maisha Yao, hebu niambie Kuna mchezaji yeyote ndani ya bara la afrika ukitoa afrika kaskazini anayeweza kupiga, kuukata na kuukunja mpira Kwa ufundi kama alivyopiga yule mchezaji wa wydad athletic club aliyekosa goli mpira ukagonga nguzo ya juu na Kila mmoja mule ndani alijua lile ni goli, hebu imagine wachezaji wetu pale angetaka kupiga shuti Kali, wakati ni kiasi cha kuupangusa mpira tu Wala si cha kufundishwa...Kwa afrika waarabu wametuzidi football intelligence Kwa mbali tu...lakini naamini mamelodi anashinda mechi ya pili kama tu wakiacha kitete (kuzubaa wakidhani wako peke Yao).
 
Badala useme tunashukuru mpira wa Afrika umekua, kwa upumbavu wako unakuja eti si wa kucheza Afrika, kwa akili yako Afrika ni kwa ajili ya vitu vya hovyo? Post ya hovyo kabisa kutokea!

Mpira wa afrika umekua kivipi!!
Top 10 African Clubs With Most Trophies....
Tuonyeshe Top 10 African Clubs With Most Trophies kama sio idadi kubwa kutoka North afrika 253 trophies.....ukilinganisha na waafrika weusi with 152 trophies in top 10.

The Cario-based club Al Ahly is considered the most successful globally by trophy count. The club has won all CAF club competitions in the modern era, including the CAF Champions League, CAF Confederations Cup and the CAF Super Cup

Ahly - Egypt - 118 trophies. The most decorated club in the world, if trophy count is what should be believed, are Egypt's Al Ahly.

Ahly | Rating: 79.9 | Global Rank: 143

Africa's most successful club by most measures, and probably the most well-known. Incredibly, they've won the Egyptian top flight 43 times – 29 more than bitter rivals Zamalek – and have enjoyed continental success unlike any other African team.20 Oct 2023
 
Swali zuri sana

Top 10 African Clubs With Most Trophies kama sio idadi kubwa kutoka North afrika 253 trophies.....ukilinganisha na waafrika weusi with 152 trophies in top 10.

The Cario-based club Al Ahly is considered the most successful globally by trophy count. The club has won all CAF club competitions in the modern era, including the CAF Champions League, CAF Confederations Cup and the CAF Super Cup

Ahly - Egypt - 118 trophies. The most decorated club in the world, if trophy count is what should be believed, are Egypt's Al Ahly.

Ahly | Rating: 79.9 | Global Rank: 143

Africa's most successful club by most measures, and probably the most well-known. Incredibly, they've won the Egyptian top flight 43 times – 29 more than bitter rivals Zamalek – and have enjoyed continental success unlike any other African team.20 Oct 2023
 
Ukweli usemwe Timu za uarabuni Zimewekeza zaidi kwenye Mpira, ila nashukuru miaka ya hivi karibuni Mamelod sundowns wameanza Kufata nyayo zao na Mafanikio yameanza kujionyesha.

Hata Tp mazembe walianza kuwa serious ila Nafikiri siasa inawaludisha sana Nyuma ile Timu maan Tajiri wao amekuwa na kazi mbili sas moja kuidhamini timu yake na kaz nyngne ni Kutumia pesa kujipigia Kampeni za kupata urais kwahyo hana Consistency,

Ila mnyonge mnyongeni Wydad, Raja, Al ahly na Mamelod hii ndo Miamba ya mpira wa Africa kwa sasa.
 
Nimependa walivyocheza, ila game haijaisha hii, kule south kuna mbungi kubwa saana itapigwa

Waydad huyu huyu ndie aliemtoa Mamelodi kwenye caf champions league semi final mwaka huu 2023. Pale pale south africa mwechi ya marudiano waydad alipata magoli mawili.

Waydad anajua sana kucheza na Mamelodi
 
Ukweli usemwe Timu za uarabuni Zimewekeza zaidi kwenye Mpira, ila nashukuru miaka ya hivi karibuni Mamelod sundowns wameanza Kufata nyayo zao na Mafanikio yameanza kujionyesha.

Hata Tp mazembe walianza kuwa serious ila Nafikiri siasa inawaludisha sana Nyuma ile Timu maan Tajiri wao amekuwa na kazi mbili sas moja kuidhamini timu yake na kaz nyngne ni Kutumia pesa kujipigia Kampeni za kupata urais kwahyo hana Consistency,

Ila mnyonge mnyongeni Wydad, Raja, Al ahly na Mamelod hii ndo Miamba ya mpira wa Africa kwa sasa.

Mtoe Raja hapo muweke esperence.

Raja hamfikii Esperence.

Waydad mwenye nusu fainali kapita kwa penalty kwa Esperence
 
Ukweli usemwe Timu za uarabuni Zimewekeza zaidi kwenye Mpira, ila nashukuru miaka ya hivi karibuni Mamelod sundowns wameanza Kufata nyayo zao na Mafanikio yameanza kujionyesha.

Hata Tp mazembe walianza kuwa serious ila Nafikiri siasa inawaludisha sana Nyuma ile Timu maan Tajiri wao amekuwa na kazi mbili sas moja kuidhamini timu yake na kaz nyngne ni Kutumia pesa kujipigia Kampeni za kupata urais kwahyo hana Consistency,

Ila mnyonge mnyongeni Wydad, Raja, Al ahly na Mamelod hii ndo Miamba ya mpira wa Africa kwa sasa.
Fact, Enyimba nae alipotea
 
Fact, Enyimba nae alipotea
Kabsa tatizo sisi Weusi huwa hatuna msimamo wa kwenye mambo yetu yani Mafanikio kidogo tu tunajisahau na Kuanza kuridhika badala ya Kuongeza nguvu zaidi.

Waarabu ni haki yao tu kuendelea kutawala soka la Africa maan kwanz wanawekeza pesa nyingi kweny mpira na pia Kila sekta imeimarishwa kuanzia Scouting Management, Benchi la Ufundi, waalimu wa saikolojia, viongozi wenye Knowledge ya Mpira etc....
 
Back
Top Bottom