Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala useme tunashukuru mpira wa Afrika umekua, kwa upumbavu wako unakuja eti si wa kucheza Afrika, kwa akili yako Afrika ni kwa ajili ya vitu vya hovyo? Post ya hovyo kabisa kutokea!View attachment 2805704
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi
Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca hawastahili kucheza mashindano ya Afrika, kwa wale wanamichezo na si mashabiki watakua wamenielewa, kwa wale wanaoshabikia kwa kigezo cha uafrika/Rangi, mada hii haiwahusu, wakae pending.
Asilimia kubwa ya watu duniani wanawachukia waarabu, japo sio wote, so kwanini uwachukie!! Wamekosa nini hawa watu!!. kuna msemo unasema, "Mti wenye matunda hupigwa mawe" tukubali tukatae waarabu wanajua mpira, wanajua kuucheza mpira watakavyo, hata uwachukie vipi huwapunguzii chochote, ndio kwanzaa wanapeleka🔥🔥🔥 najua asilimia kubwa ya mashabiki wa huku wapo upande wa Mamelodi, sasa mtu huyu kweli utajadiliananae vipi kwenye suala la mpira!! Ni kupoteza muda tu. Huyo mamelodi ni nguvu ya soda tu, many times hafiki kokote, end of the day anatolewa na mnae mchukia/mwarabu, waliobarikiwa, hawatumii uchawi/ushirikina.
Anaejua anajua tu
Not Racism
Tukemee ubaguzi, chuki, roho mbaya na wivu.
Moderator nawaomba msifute uzi huu, kuna nyuzi hazina vichwa wala miguu na mnaziacha, kuna nyuzi za upande wapili za udini, ubaguzi na chuki lakini mnapita kama hamzioni, sasa kwa leo tu nawaomba muuache uzi huu.
Swali zuri sanaAkili za madrasa hizi, kama Waarabu wanajuwa mpira mbona hawajawahi kuchukuwa world cup?
Mwaka huu mtaongea kila sentesiAndika hivi... "mashabiki wa Uto wapo upande wa Mamelodi"
Usitujumuishe mashabiki wengine tusio vyura.
Hilo jinga lina udini na ubaguziBadala useme tunashukuru mpira wa Afrika umekua, kwa upumbavu wako unakuja eti si wa kucheza Afrika, kwa akili yako Afrika ni kwa ajili ya vitu vya hovyo? Post ya hovyo kabisa kutokea!
Badala useme tunashukuru mpira wa Afrika umekua, kwa upumbavu wako unakuja eti si wa kucheza Afrika, kwa akili yako Afrika ni kwa ajili ya vitu vya hovyo? Post ya hovyo kabisa kutokea!
Swali zuri sana
Bado zamu yao bondeni
Hilo jinga lina udini na ubaguzi
Mamelodi anachukua Ubingwa mark my words
Kwangu mm Raja ndio timu inayocheza mpira mzuri kati hao wote!!
Nimependa walivyocheza, ila game haijaisha hii, kule south kuna mbungi kubwa saana itapigwa
Ukweli usemwe Timu za uarabuni Zimewekeza zaidi kwenye Mpira, ila nashukuru miaka ya hivi karibuni Mamelod sundowns wameanza Kufata nyayo zao na Mafanikio yameanza kujionyesha.
Hata Tp mazembe walianza kuwa serious ila Nafikiri siasa inawaludisha sana Nyuma ile Timu maan Tajiri wao amekuwa na kazi mbili sas moja kuidhamini timu yake na kaz nyngne ni Kutumia pesa kujipigia Kampeni za kupata urais kwahyo hana Consistency,
Ila mnyonge mnyongeni Wydad, Raja, Al ahly na Mamelod hii ndo Miamba ya mpira wa Africa kwa sasa.
Fact, Enyimba nae alipoteaUkweli usemwe Timu za uarabuni Zimewekeza zaidi kwenye Mpira, ila nashukuru miaka ya hivi karibuni Mamelod sundowns wameanza Kufata nyayo zao na Mafanikio yameanza kujionyesha.
Hata Tp mazembe walianza kuwa serious ila Nafikiri siasa inawaludisha sana Nyuma ile Timu maan Tajiri wao amekuwa na kazi mbili sas moja kuidhamini timu yake na kaz nyngne ni Kutumia pesa kujipigia Kampeni za kupata urais kwahyo hana Consistency,
Ila mnyonge mnyongeni Wydad, Raja, Al ahly na Mamelod hii ndo Miamba ya mpira wa Africa kwa sasa.
Kabsa tatizo sisi Weusi huwa hatuna msimamo wa kwenye mambo yetu yani Mafanikio kidogo tu tunajisahau na Kuanza kuridhika badala ya Kuongeza nguvu zaidi.Fact, Enyimba nae alipotea