Nisome chuo au Advance

matyhans

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
611
Reaction score
403
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kupata 2 ya point 21 nikiwa na c kwa kila somo isipokuwa hist na kisw .ndoto yangu hapo baadae ni kuja kuwa civil engineer na katika fomu niliweka first selection technical college ambapo nilichagua civil engineering ktk vyuo vya d.i.t au m.u.s.t (zaman m.i.s.t) xaxa kuna baadh ya watu wananiambia ni heri nikasome advance na nachotaka kuuliza ni kwamb je nikisoma advance egm kuna uwezekano wa kusoma civil engineering?
nawasilisha...
 
acha kutegemea misimamo ya wengine stay focusted on ur own.
 
Kajifunze kuandika Hakuna neno "xaxa" la kiswahili na kama uko hivyo FOE hakuna usharobaro. Utachemsha.
 
mi miaka ya nyuma nilipata division 2 point 21 nikaamua niende ualimu nikaajiriwa sasa nipo chuo nakula mshahara na mkopo nimepata
 
Kuna vitu vya kushauriwa. Ushauri wa bureeeee kabisa kuwa na msimamo katija maisha yako and stop listening to what pipo say. Kama unaenda chuo nenda tu.
 
Kajifunze kuandika Hakuna neno "xaxa" la kiswahili na kama uko hivyo FOE hakuna usharobaro. Utachemsha.

ameishakuambia kiswahili amepata "mswaki" unategemea angeacha kuandika "vyongo" kama hizo.?
 
mtu aliesoma EGM advance hawezi kamwe kusoma civil engeneering...na ushauri wangu nakushauri uende advance matokeo yako yanaonesha una uwezo mzuri tu...
 
mtu aliesoma egm advance hawezi kamwe kusoma civil engeneering...na ushauri wangu nakushauri uende advance matokeo yako yanaonesha una uwezo mzuri tu...

asante kwa ushauri wako
 
Kama unapenda kusomea Civil Engineering kwa level ya shahada kwanini usisome PCM au PGM mpaka uchague EGM? EGM huwezi kusomea civil engineering kamwe.
 
Kama unapenda kusomea Civil Engineering kwa level ya shahada kwanini usisome PCM au PGM mpaka uchague EGM? EGM huwezi kusomea civil engineering kamwe.

nimesema hvyo kwasababu ningesoma EGM najua ningeperform vizuri sana
 
follow your heart ndo utafanya vizuri zaidi,umesoma unataka kwenda chuo,hivyo nenda chuo.Usiende advance kwa kusukumwa na mtu utafeli wewe.UDSM utafika tu hata kwa kutokea DIT ama mbeya.Hivyo basi nenda Tech college
 
follow your heart ndo utafanya vizuri zaidi,umesoma unataka kwenda chuo,hivyo nenda chuo.usiende advance kwa kusukumwa na mtu utafeli wewe.udsm utafika tu hata kwa kutokea dit ama mbeya.hivyo basi nenda tech college

asante kwa ushauri wako
 
Ulisoma shule gani?
Kwanini usiende kuomba ushauri kwa walimu waliokufundisha?
 
asante kwa ushauri wako

ukienda chuo kusoma engeneering itakuchukua miaka mi3 kupata diploma ya civil alaf baada ya hapo ndio uchukue degree ambayo ni miaka mi4 kwahyo hapo jumla utakua umetumia miaka 7...
Ukienda advance miaka mi2 then degree miaka mi4 jumla miaka 6 so utakua umesave mwaka
 
advance ndio nini? Nyie watoto wa siku hizi bana!
 
Mdogo wangu mimi ninakushauri ukasome Chuo kusoma 5&6 wakati mwingine ni kupoteza wakati kwa mtu anaefahamu nini anacho kitaka katika maisha. Itakuwa rahisi kwako kwenda chuo kikuu ukiwa tayari kwa ajira au umeajiriwa lakini pia nakushauri uangalie chuo kama DMI kina ajira za moja kwa moja kama ukisoma hapo.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…