matyhans
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 611
- 403
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kupata 2 ya point 21 nikiwa na c kwa kila somo isipokuwa hist na kisw .ndoto yangu hapo baadae ni kuja kuwa civil engineer na katika fomu niliweka first selection technical college ambapo nilichagua civil engineering ktk vyuo vya d.i.t au m.u.s.t (zaman m.i.s.t) xaxa kuna baadh ya watu wananiambia ni heri nikasome advance na nachotaka kuuliza ni kwamb je nikisoma advance egm kuna uwezekano wa kusoma civil engineering?
nawasilisha...
nawasilisha...