huyu akasomee ufundi cherehani utamfaa
Nenda Veta ukasomee Welding and Metal fabrication. Utafika tu mdogo wanguJaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?
Huo uandishi wako tu ndio maana ulifeli.Inawezekana hata kwenye mtihani uliandika "Xo" badala ya "So".Uandishi huo wa kisharobaro unaboa sana eti "xaikolojia".P****fu sana!
Dogo unapenda computer kusoma na unataka upate ajira haraka sasa mimi kwa ushaur wangu tu fikiria juu ya fani hizi kwa sasa Elimu,Afya na Kilimo na mifugo ukitaka makuu utaishia kuingiza nyimbo kwenye simu na kuchoma CD
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?