Nisome masomo gani ili nije kuwa Mhandisi?

Kwanza balance division halafu hakikisha unafanya vema zaidi Physics Chemistry Math na English. Bila ajizi ingia DIT halafu hakikisha una muda binafsi wa kujinoa.... welcome to the world of Engineers
 
Hakusema anataka kua engeneer wa umeme,amesema engeneer wa mambo ya computer,eletronics na mambo yote ya technology....

Sasa ni kuulize tu swali
Electonic gan inasomwa pasi kuifaham transistor, au diode au hata capacitor
 
Kwanza balance division halafu hakikisha unafanya vema zaidi Physics Chemistry Math na English. Bila ajizi ingia DIT halafu hakikisha una muda binafsi wa kujinoa.... welcome to the world of Engineers

Soma Sana History Kiswahili Na English In Short Kasome HKL
 
Wadau mimi ni kijana nilikimbia shule nikiwa form one but now naitaj kurudi school november 13th ila nitasoma QT na ndoto yangu ni kuwa Engineer wa electronics zote i mean computer na vifaa vinginevyo vinavyoendana na technology TV's phones consoles etc...

Wasomi ni wengi humu Jamiiforums please naomba ushauli nifuatilie masomo gani, ili nipate njia rahisi ya kutimiza ndoto yangu.

Natanguliza shukrani na mchango wenu ni muhimu kwangu

KWANZA POLE KWA KUPITIWA NA IBILISI NA KUFIKIA HATUA YA KUKACHA SHULE PENGINE UNGEKUWA ULISHAFIKA MBALI.

KWA NDOTO ULIZONAZO YAKUPASA UKOMAE SANA KATIKA MASOMO YAFUATAYO.

1. basic maths.
2. physics.
3. chemistry
 
Wadau ninashukuru kwa mchango wenu ila naitaj kujua kama haya masomo yanafaa kama nikiitaji engineering ya electronics designer
 
Wadau mimi ni kijana nilikimbia shule nikiwa form one but now naitaj kurudi school november 13th ila nitasoma QT na ndoto yangu ni kuwa Engineer wa electronics zote i mean computer na vifaa vinginevyo vinavyoendana na technology TV's phones consoles etc...

Wasomi ni wengi humu Jamiiforums please naomba ushauli nifuatilie masomo gani, ili nipate njia rahisi ya kutimiza ndoto yangu.

Natanguliza shukrani na mchango wenu ni muhimu kwangu

unadhan uhandis lele mama....kasome upishi uje utupikie
 
HONGERA SANA KIJANA KWA KUJITAMBUA NA KUJUA UNACHOTAKA....katika masomo yako, maths na physics isikosekane. Kila la kheri na naona wadau wamekushauri vema tu huko juu.
 
Back
Top Bottom