Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakusema anataka kua engeneer wa umeme,amesema engeneer wa mambo ya computer,eletronics na mambo yote ya technology....
Kwanza balance division halafu hakikisha unafanya vema zaidi Physics Chemistry Math na English. Bila ajizi ingia DIT halafu hakikisha una muda binafsi wa kujinoa.... welcome to the world of Engineers
Ushauri wa uongo huu....
Huwezi kuitenga engineering na physics hata siku moja...
Wadau mimi ni kijana nilikimbia shule nikiwa form one but now naitaj kurudi school november 13th ila nitasoma QT na ndoto yangu ni kuwa Engineer wa electronics zote i mean computer na vifaa vinginevyo vinavyoendana na technology TV's phones consoles etc...
Wasomi ni wengi humu Jamiiforums please naomba ushauli nifuatilie masomo gani, ili nipate njia rahisi ya kutimiza ndoto yangu.
Natanguliza shukrani na mchango wenu ni muhimu kwangu

unadhan uhandis lele mama....kasome upishi uje utupikie
ha ha ha ha ha ha ha..............ndio Mkuu...bora akapikie wanaume tujue mojaHa ha ha ha.... Aje apike site au?