Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.
Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda mpana kutokana na miradi mingi inayoendela hapa bongo.
Wakubwa nipo confused sana na hii ni kwasababu ya kiasi cha pesa nilichonacho.