Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Shukrani mkuu, Kazi za kusaidia fundi zinachosha sana imebidi nijiongeze tu.Kila la kheri mkuu
Ni kupambana tu mkuu japo mambo hajawahi kuwa rahisi.ishu ni ajira mkubwa,, nilisomea excavator na motor grader.. hata field sijawahi kupata nikabadili kozi,, sa hivi ni mkemia,,
Kwasababu nitakuwa natafuta uzoefu, hicho kiasi naweza kuchukua kwasababu nitakuwa mpya kazini.Komaa mwanangu kuna kampuni hapa bongo ina jina kubwa sana ni hawa estim construction tatizo ni ya wahindi opareta analipwa elfu 20 kwa siku ila vifaa vyote wanavyo tena vya kisasa kabsa
Umefanya uamuzi sahihi. Pamoja na kuwa na elimu lakini suala la Ujuzi ni la msingi Sana Ili usilale njaa.Shukrani mkuu, Kazi za kusaidia fundi zinachosha sana imebidi nijiongeze tu.