Nisome nini master degree, naomba ushauri

Nisome nini master degree, naomba ushauri

labda niseme kitu kuhusiana na lugha ya English as far as applied linguistics is concerned.tatizo as watanzania tunapenda kukosoa wenzetu lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya watz hawajui English both written and oral,first ,judge yourself before judging your colligue.
 
Nakubali kuwa hawajui au hatujui ila kuna option ya kuandika kitu kinachoeleweka kwa wanajamii hasa ukizingatia kuwa tunasomwa na watu wengi. Andika ambacho unajua kuwa utaeleweka kwa urahisi bila kuanza kutafuta point imekaa wapi
 
Hiyo colligue mmmmmh. Haya msomi
Haa haa haa yaani we andybird314 umeona hapo tu. Suala la ushauri wa asomee nini ambalo ndo dhumuni kuu hujaliona?
Afu hiyo naniliii si umejua anamaanisha nini mbona una complomaizi vitu jamaa
 
Last edited by a moderator:
First of all I would thanks to god up to where am, second for those who have been blessed to pursue masters programs may you get me your assistance that am a last year student pursuing bachelor degree of arts.

Now I have thoughts to go on with master degree but problem is which program should I take to wide up the range as far as job opportunity is considered. please be honesty and calm.

Nashauri ufanye kozi ya kiingereza kwanza kabla ya kutamani kusoma masters;hivi kwa hali hii tutaweza kushindana East Africa Common Market kweli?
 
I don't know what makes people think having a Masters degree will give them better job. Many companies hire people with experty and experience

Halaf nyie mtakuwa wahaya maana mnang'ang'ana kuandika kiingereza lakini kiingereza chenyewe fyuuuuuu,hapo sema expertise please,siyo experty,come on!
 
First of all I would thanks to god up to where am, second for those who have been blessed to pursue masters programs may you get me your assistance that am a last year student pursuing bachelor degree of arts.

Now I have thoughts to go on with master degree but problem is which program should I take to wide up the range as far as job opportunity is considered. please be honesty and calm.

I would thanks????loh,hadi nimeficha uso wangu
 
Sasa hapo applied linguistics inahusika vipi kwenye hiyo comment yako? Mbona kama nahisi wanaokukosoa wanajua wanachokisema? Na ukweli ni kwamba umeandika Kiingereza kibaya.

labda niseme kitu kuhusiana na lugha ya English as far as applied linguistics is concerned.tatizo as watanzania tunapenda kukosoa wenzetu lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya watz hawajui English both written and oral,first ,judge yourself before judging your colligue.
 
Aliyekushauri usome kingereza amekushauri vizuri, maana inaaonekana ni lugha unapenda kuitumia na itakusaidia ku elewa hio Masters vizuri zaidi.

BRN ni janga kubwa sana. Mimi naamini kiingereza sio necessary katika kuleta maendeleo au mtu kujikomboa kimaisha, lakini ni kipimo kirahisi cha kupima kiwangi cha uelewa au usome wa wasomi wetu wanaohitimu. Kama mtu kamaliza degree na huandika hivyo je hivyo vitabu ambavyo vyote ni vya kiingereza wakati anasoma alikua anaelewa kwa asilimia ngapi?

Watanzania wengi wana akili sana, tatizo tuko confused halafu bado ulimbukeni upo sana!!
 
unasoma nini kwa sasa??????
degree progrm gani?????

Masai dada mimi ninachukua bachelor of education in arts. Major subject Geography je hapo naweza kuja kusoma masters ya kitu gani mbali na ualimu?
 
Haya maswali huwa ya watoto wa A level na O level. Mtu anayetegemea kuhitimu shahada kuuliza hili swali hutendei haki elimu ya shahada kabisa. Yani uwezo wako wa kufikiri haufanani na hicho ambacho umekisoma. Samahani kwa kukukwaza lakini
Du!! Huyu jamaa ananikumbusha jamaa mmoja aliyepata nafasi ya kwenda kusoma nje shahada ya kwanza,huyo jamaa alikuwa mkweli tu kwamba mipango yote aliandaliwa na wazazi wake, yeye kaletewa tiketi ya ndege tu kwamba aende akasome ulaya,mambo ya kozi atajua huko huko, na ilikuwa hivyo kweli. Mambo kama hayo utakutana nayo kwa wingi sana katika nchi yetu hii ya kilimanjaro. Mungu ibariki Tanzania.
 
Lakini mbona kumkosoa hivo, hii ndo shida ya tz, watu wanatafuta ulipokosea, hawana appreciation hata kama ni kidogo, jamaa kiukweli mumemuelewa, so tumieni lugha ya busara kwamba sehemu flani umekosea, lakini sio kuponda kila kitu, English sio lugha yetu hivo tunajifunza, so broken it's how we gonna learn, we are not from Britain
 
Huu ni mfano wa kipimo cha wasomi wa Tz
 
Jamani mbona mnashangaza sana tangu lini watz tukajua kiingereza fasaha? Mwacheni alichoweza anastahili pongezi.
 
Kama hujaweza kujitegemea wala kuwa na uwezo wakupata milion mbili kwa mwezi nakushauri soma masters ya ELIMU MTAANI
 
Hahahaaaaaaaa;
"I would thanks god"!!

"god=God"??????????
 
Back
Top Bottom