Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu

Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu


2021-toyota-fortuner-hiluxs-7-seater-suv-sibling-gets-a-facelift-too.jpg
 
😄😄😄😄 Mambo ya Nissan hayo boss.
Aisee nimecheka Sana maana nimekutana na nissan moja hapa ni hiyo ambayo umetupia picha yake ina rangi ya cream...Kumbe hizi gari zipo hapa dar
 
Magari haya matoleo mapya yana vitu tofauti sana ila ukiiona utadhani ni kama ile ile...
 
Ila Mimi naona Toyota model hazina Sura za kuvutia yaani angalau Nissan wako vizuri Kwenye design ya Magari....hapa Tanzania kuna Toyota BB, Porte na wills haya Magari nashindwa kuelewa Toyota waliwaza nini
Ni magari ya zamani hayo mkuu matoleo mapya wa magari mazuri mno ni vile tumebanwa na kodi ndio maana na hayo yapo kwenye macho yetu na bajeti yetu..
 
Back
Top Bottom