Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
[emoji849][emoji849][emoji849]wengine tulishasahau hilo jina..Kapande Bombardier za magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849][emoji849][emoji849]wengine tulishasahau hilo jina..Kapande Bombardier za magufuli
Hujui magari wewe. Kwa taarifa Nissan husubiri Toyota watoe design mpya ndipo Nissan wacopy kitu watoe yaoIla Mimi naona Toyota model hazina Sura za kuvutia yaani angalau Nissan wako vizuri Kwenye design ya Magari....hapa Tanzania kuna Toyota BB, Porte na wills haya Magari nashindwa kuelewa Toyota waliwaza nini
Kwenye hizo picha za Nissan patrol na Toyota LC hapo alizoweka mtoa mada, ni kampuni ipi ilianza kutoa gari lake..?Hujui magari wewe. Kwa taarifa Nissan husubiri Toyota watoe design mpya ndipo Nissan wacopy kitu watoe yao
Unaulizaje swali ulilo na majibu yake. Unataka nitoe jibu ili uanze kuleta ubishi. Sema Mimi ninavyojua ni kuwa design ya sasa ya Nissan mpya imetolewa kabla ya ya Toyota lc ndivyo watu wanavojadili humu. Haya sema wewe unavojua ni design ipi imeanza kutoka, ya Toyota au ya land cruiserKwenye hizo picha za Nissan patrol na Toyota LC hapo alizoweka mtoa mada, ni kampuni ipi ilianza kutoa gari lake..?
Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
Sasa kama Nissan mpya ilianza kutoka kabla ya hiyo Toyota, sasa unasemaje kwamba Nissan wanasubiri Toyota watoe design ndiyo Nissan waige..?Unaulizaje swali ulilo na majibu yake. Unataka nitoe jibu ili uanze kuleta ubishi. Sema Mimi ninavyojua ni kuwa design ya sasa ya Nissan mpya imetolewa kabla ya ya Toyota lc ndivyo watu wanavojadili humu. Haya sema wewe unavojua ni design ipi imeanza kutoka, ya Toyota au ya land cruiser
Nini mgegedo mafi ya mbuzi ??[emoji16][emoji16][emoji16]Unataka kutuambia raha ya hii ndinga inazidi ile ya mgegedo..[emoji23][emoji23]
Afadhali umenisaidia aiseeKwenye hizo picha za Nissan patrol na Toyota LC hapo alizoweka mtoa mada, ni kampuni ipi ilianza kutoa gari lake..?
Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
Wanaume tusije tukapewa lifti humo..[emoji23][emoji23]Nini mgegedo mafi ya mbuzi ??[emoji16][emoji16][emoji16]
Ile ndinga ni habare nyingine, binafsi sijawahi pata raha kama ile
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni matoleo gani ya Nissan walikopi Kwa Toyota baada ya Toyota kutoa?Hujui magari wewe. Kwa taarifa Nissan husubiri Toyota watoe design mpya ndipo Nissan wacopy kitu watoe yao
Hujaelewa nilichosema broo. Nimesema aje huyo mwenye post kabla ya ya kwangu aseme 'kwa mfano'. Aseme hivi 'mimi ninaamini kuwa design ya sasa ya Nissan mpya imetolewa kabla ya ya Toyota lc'. Nikasema hivyo ndivyo watu wanavojadili humu. Sikusema kuwa Nissan y62 ndio imedesigniwa kabla ya toyota inayokuja. Elewa usikariri.Sasa kama Nissan mpya ilianza kutoka kabla ya hiyo Toyota, sasa unasemaje kwamba Nissan wanasubiri Toyota watoe design ndiyo Nissan waige..?
Nissan hukopi matoleo karibu yote. In fact hapa wewe mwenyewe unathibitisha kuwa Toyota hutangulia. Baada ya Toyota kutoa mfano athlete Nissan kaja na fuga kwa kuongeza vionjo unavyofikiri Toyota watachukua miaka 100 kuvifikia. Toyota watakuja kivingine. Halafu hapa mjadala wa sasa ni wa Nissan patrol na Toyota LC. Nimesema usikaririNi matoleo gani ya Nissan walikopi Kwa Toyota baada ya Toyota kutoa?
Pia ni teknologia IPi Nissan alikopi kutoka Toyota hasa Kwenye upande wa engine?
Chukulia mfano wa nissan Fuga hii ni bonge moja ya ndinga hata hao akina athletes wanasubiri miaka 100...nenda kaangalie hiyo ndinga ilivyosimama unaweza kuifananisha na toleo lipi la Toyota?
Hujui magari wewe. Kwa taarifa Nissan husubiri Toyota watoe design mpya ndipo Nissan wacopy kitu watoe yao
Soma vizuri comment yako ya kwanza..Nissan hukopi matoleo karibu yote. In fact hapa wewe mwenyewe unathibitisha kuwa Toyota hutangulia. Baada ya Toyota kutoa mfano athlete Nissan kaja na fuga kwa kuongeza vionjo unavyofikiri Toyota watachukua miaka 100 kuvifikia. Toyota watakuja kivingine. Halafu hapa mjadala wa sasa ni wa Nissan patrol na Toyota LC. Nimesema usikariri
Ndiyo maisha ya duniani yalivyo kuna mwingine hata ukimpa bure gari ambayo wewe inaipenda hawezi kukubali!!!Hii gari sitembelei hata nikipewa bure
[emoji1787][emoji1787]kwakweliWanaume tusije tukapewa lifti humo..[emoji23][emoji23]
Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
Hii ndo ndege yA chini 😁😁😁Sasa mkuu sisi tunaozimiliki tunaziita ndege za ardhini
Naona takataka imetulia.View attachment 1806368
Pathfinder
Daah no wonder Juke kwa ki-israeli ni Mende.Nissan Jux au sio
Naona wiki hii ni zamu ya BMW x6 kutamba humu JF.Mi napenda BMW X6 ....
Asee hilo ndinga naomba Mungu bariki after 3 yrs from now niwe nimeimiliki hata kama imepitwa na wakati[emoji848]
Kuna raia wa nje hapa job ( mswedish) analimiliki mpyaa, sasa tukawa marafiki, ( nilikuwa namfundisha kuzijua barabara za kibongo ) Kuna siku nikamuomba anipe nidrive nipate baraka ya kulimiki! Akaniazima siku ya jumapili asubuhi ila asubuhi j3 ofisini chap nihakikishe nimelipaki atalikuta[emoji122][emoji122][emoji122]
(Wazungu sijui gari wanaona kitu gani yaan just normal sio kama wabongo)
Asee Twin, sijawahi kupata raha kama niliyoipata siku hiyo, yaan niliona kama napaa mbinguni[emoji1787][emoji1787]
Lile gari ni tamu jamani afuu, muziki wake sasa mamaaaa nilihisi malaika kanibeba ananipaisha mbinguni bila kuonja kifoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So twin niombee niubebe huu mndinga[emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nakubali mkuu Nissan wako vzr kwa kila kitu,Hahah.Tukiachana na unazi wa kushabikia Toyota Ila Kwa kifupi Magari Yao mengi Yana design mbaya Sana kuanzia exterior na interior design.....hawa jamaa tunawakibali Kwenye engine na gear box.
Nissan Tu ndiyo wako vizuri Kwa kila kitu Kwa Magari ya japan