Mi napenda BMW X6 ....
Asee hilo ndinga naomba Mungu bariki after 3 yrs from now niwe nimeimiliki hata kama imepitwa na wakati[emoji848]
Kuna raia wa nje hapa job ( mswedish) analimiliki mpyaa, sasa tukawa marafiki, ( nilikuwa namfundisha kuzijua barabara za kibongo ) Kuna siku nikamuomba anipe nidrive nipate baraka ya kulimiki! Akaniazima siku ya jumapili asubuhi ila asubuhi j3 ofisini chap nihakikishe nimelipaki atalikuta[emoji122][emoji122][emoji122]
(Wazungu sijui gari wanaona kitu gani yaan just normal sio kama wabongo)
Asee Twin, sijawahi kupata raha kama niliyoipata siku hiyo, yaan niliona kama napaa mbinguni[emoji1787][emoji1787]
Lile gari ni tamu jamani afuu, muziki wake sasa mamaaaa nilihisi malaika kanibeba ananipaisha mbinguni bila kuonja kifoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So twin niombee niubebe huu mndinga[emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO KA7 using
JamiiForums mobile app