Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu

Interior design ya Rumion ni ya hovyo sana..
Dashboard na instrumental cluster zimekaa kama za helicopter
Sifa kubwa ya rumion ni uzuri wa ndani kwasabb ina space kama uwanja WA taifa pia ina mziki mmoja matata Sana.
Hata cluster yake ni digital mode sasa ukija Kwenye kiyoyozi haina tofauti na Russia yaaani ni full barafu ndani
 
'
20210602_180049.jpg
 
Toyota is for queit sometimes has been playing Mind Games with similarities and monor variations between models as you've shown. Take for example Lexus vs Harrier SUVs; Noah vs Voxy e.t.c
You dont know what the man is talking about. You should have asked to some people so that they explain to you
 
Sifa kubwa ya rumion ni uzuri wa ndani kwasabb ina space kama uwanja WA taifa pia ina mziki mmoja matata Sana.
Hata cluster yake ni digital mode sasa ukija Kwenye kiyoyozi haina tofauti na Russia yaaani ni full barafu ndani
Yes. ninaelewa hayo yete mkuu ila linapokuja suala la gari kuwa na dashboard katikati mithili ya tractor au pikipiki, mimi naishiwa hamu kabisaa...

Magari yafuatayo siyaapendi hata kidogo kisa tu yana dash katikati..
IST, Vitz zote,Rumion,Sienta, Platz,Raumu,Prius na Nissan X Trail First generation..

Halafu toyota anaonekana ni legendary wa kuzalisha magari yenye dashboard kati kati...

Nachukia sijui kwa nini...
 
Toyota is for queit sometimes has been playing Mind Games with similarities and monor variations between models as you've shown. Take for example Lexus vs Harrier SUVs; Noah vs Voxy e.t.c
Toyota wahuni tu, kulikuwa na haja gani ya kusema Noah vs Voxy, Alex vs RunX ukizingatia yote ni JDM...
Kwa sasa toyota wanatamba kwa injini na geabox, kuhusu vipengele vingine ni ..[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Tukiachana na unazi wa kushabikia Toyota Ila Kwa kifupi Magari Yao mengi Yana design mbaya Sana kuanzia exterior na interior design.....hawa jamaa tunawakibali Kwenye engine na gear box.

Nissan Tu ndiyo wako vizuri Kwa kila kitu Kwa Magari ya japan
 
Yes. ninaelewa hayo yete mkuu ila linapokuja suala la gari kuwa na dashboard katikati mithili ya tractor au pikipiki, mimi naishiwa hamu kabisaa...

Magari yafuatayo siyaapendi hata kidogo kisa tu yana dash katikati..
IST, Vitz zote,Rumion,Sienta, Platz,Raumu,Prius na Nissan X Trail First generation..

Halafu toyota anaonekana ni legendary wa kuzalisha magari yenye dashboard kati kati...

Nachukia sijui kwa nini...
Kioo kipo kati na mbele ni katikati sisi hatuoni tatizo,Tatizo ni pale unagari kubwa halafu rumioni inakupita na mjini mafuta wako.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wa wenye vigari vidogo mnadhani kila mwenye gari kubwa yupo kushindana.

Mtu ana ki ist anakwambia amempita lc200 kama kasimama.
 
Back
Top Bottom