PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Sifa kubwa ya rumion ni uzuri wa ndani kwasabb ina space kama uwanja WA taifa pia ina mziki mmoja matata Sana.Interior design ya Rumion ni ya hovyo sana..
Dashboard na instrumental cluster zimekaa kama za helicopter
Hata cluster yake ni digital mode sasa ukija Kwenye kiyoyozi haina tofauti na Russia yaaani ni full barafu ndani