Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
yani hata siwez kuamin ilo yai kama linaeza kutembea ivoHii Gari anatak kuiua mapema mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani hata siwez kuamin ilo yai kama linaeza kutembea ivoHii Gari anatak kuiua mapema mno
kuna wanao nielewa kwann nimeita kiberiti ni tafsidaUkiwa matured kiasi cha kutosha....huwezi kuita gari la mtu kiberiti.....
Tunakwama sana sisi Watanzania..
akisema arudi nako nzega mbali😂🤣
🤣 🤣 🤣 🤣
Acheni kumtisha jaman. Non stop haiwezekani maaana humo njian LAZIMA alisimama kula, alisimama kuchimba dawa, alisimama kujaza mafuta, alisimama kwenye vizuizi vya askari nk point yake hakuzima gari kitu ambacho ni kawaida tu wala hakuna madhara. Acheni uswahili na stori za vijiweni. Injini ina mfumo wake wa Upozaji na kama inafanyakazi kiaswa sawa hata siku 3 masaa 72 chombo inatembea tuuuu. Gooogle hapo maximum hours ya Dualis Engine kufanyakazi non stop utapata jibu gani? Kusimama na gari kila baada ya 200km huwa ina lengo la check up ya magurudumu, dereva kujinyoosha nk nk lkn siyo kwamba upumzishe injini
Asante kaka kwa maelezo yako.Haina shida boss mie nmeshawahi kutoka nayo from mtwara to mwanza kupitia dar bila kuiIma vile vile sababu msukuma yule alikuwa anataka j3 awe kazini.
Gari ilitoboa na mpaka leo jamaa anaitumia sema tu tulipiga service ya maana almost 2m kasoro ilizama tyre mpya kila kitu kilikuwa kma gar imetoka japan
Ugonjwa wa hizo gari ni pale utakapoanza kuweka spear na service za kunjunga ndo hpo lazma uje kulia.
Pia issue ya pili hakikisha likitokea tatizo la wiring/umeme wa gari basi mpe fundi maalum wa nissan syo hawa mafundi wetu wa mtaani anaekata nywaya toka huko na kuja kuunga bila kujua nywaya hii ya wapi na usifanye matengenezo ya umeme bila kupima na diagnosis mashine.
Kwani ukifanya kuripua tu kwenye wiring kwa fund wa chini ya mti sku ikitokea loose kidogo tu utashngaa tu gar uko ndan kwako nje inaungua au hata kwenye foleni chombo limelipuka
Manure= mbolea ya wanyama/samadi.Manure ya hiyo gari inasomaje? Ikiruhusu hamna shida, unao wahoji na wanao toa ushauri sio ma-expert wa hiyo gari! Gari sio kama pikipiki trailer 90, eti saa 4 halafu uzime, hata 48hr haina shida iwapo tu ulitia oil bora!
Kawaida tu. Ata Passo, Vitz, zote zinafika vizuri tu. Bila shida. Magari ya sikuhizi engine imeboreshwa sio maajabu hayo. Ila DUALIS sio gari bado kwa Tanzania. Ipo siku utajua.Wakuu zangu nimetembea na Nissan Dualis Mpaka Musoma pasipo kupumzika na kuizima.
Je, vipi kuhusu Gearbox yake kwa Skendo za kufa? Kweli imenifurahisha na imetembea sana.
Mimi pia sishauri gari yenye engine ndogo kutembea umbali mkubwa bila kuipumzisha,ingawa kitaalamu sio mjuzi sana...Hakuna gari isiyotembea hata Passo ingefika huko... Ila umeifanya gari itembee kwa maumivu baada ya siku mbili tatu ikikuletea shida utambue ni huo ujinga wako wa kuitembeza Non-stop... Ulipaswa uipumzishe tena ikibidi kwa kuizima angalau dk15-20 kila baada ya kilometers 500... Mabasi na malori yanapumzika sembuse hiko Ki Dualis chako...
Wabongo hamjui kuzitumia na kuzitunza gari, zikianza kuharibika mnasingizia wazungu na wajapan bure kwamba gari zao mbovu...
Kuna uzi nilileta humu kuomba ushauri kuhusu hiyo gari.Hii gari inasemwa vby Sana[emoji848]
Binafs Sijawahi hata kuzijaribu,Kuna uzi nilileta humu kuomba ushauri kuhusu hiyo gari.
Kuna watu walitoa shuhuda zao... na kuna ambao walisagia vibaya mno! [emoji23]
Mwisho wa siku nikavuta chuma.
Nilichogundua, comments nyingi kuhusu magari hapa JF ni maneno ya vijiweni na ushabiki tu!
Nissan Dualis ni gari nzuri sana!
Umetoa ushauri mzuri sana.Haina shida boss mie nmeshawahi kutoka nayo from mtwara to mwanza kupitia dar bila kuiIma vile vile sababu msukuma yule alikuwa anataka j3 awe kazini.
Gari ilitoboa na mpaka leo jamaa anaitumia sema tu tulipiga service ya maana almost 2m kasoro ilizama tyre mpya kila kitu kilikuwa kma gar imetoka japan
Ugonjwa wa hizo gari ni pale utakapoanza kuweka spear na service za kunjunga ndo hpo lazma uje kulia.
Pia issue ya pili hakikisha likitokea tatizo la wiring/umeme wa gari basi mpe fundi maalum wa nissan syo hawa mafundi wetu wa mtaani anaekata nywaya toka huko na kuja kuunga bila kujua nywaya hii ya wapi na usifanye matengenezo ya umeme bila kupima na diagnosis mashine.
Kwani ukifanya kuripua tu kwenye wiring kwa fund wa chini ya mti sku ikitokea loose kidogo tu utashngaa tu gar uko ndan kwako nje inaungua au hata kwenye foleni chombo limelipuka
Tena kwa Dualis, Temperature iko pale ina display kidigitaly kabisa!Mi mwenyewe nawashaa hao washauri najiuliza hivi hawa ni drivers kweli au washindia vijiweni?
Pale kwenye dashboard kama hapajaku-alert cho chote utaipumzisha kisa nini na ni ngumu Dar - Musoma non stop!
Acha hizo...Kawaida tu. Ata Passo, Vitz, zote zinafika vizuri tu. Bila shida. Magari ya sikuhizi engine imeboreshwa sio maajabu hayo. Ila DUALIS sio gari bado kwa Tanzania. Ipo siku utajua.
Siku ukijaribu naamini utakubaliana nami!Binafs Sijawahi hata kuzijaribu,
naziona tu barabarani zinatembea
Nakubaliana na wewe mpaka asaivi na dunda nayo mtaani.Kuna uzi nilileta humu kuomba ushauri kuhusu hiyo gari.