Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

Kwenye Gear box unaweka hiyo NS- 2 kwenye engine unaweka hiyo ya 5w-30. Na filter hiyo hapo. Hizi ndizo product unatakiwa kuwa nazo ukienda gereji kufanya service au kama unaifanyia mwenyewe service.
JamiiForums-209201833.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom