Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Chanzo ni haya ya kuweka maredio mtaani
Yani maredio ya hovyo ,bahati tu magari mnafunga vioo,vinginevyo ingekuwa mikelele tu barabarani,binafsi huwa sipendi mamziki makubwa kwenye gari,i just love the engine sound.Pia ukiweka mziki mkubwa unaweza hata kugogwa na usihisi
 
Huenda mafundi wetu hawaelewi mifumo yake ya umeme wanaifojifoji hivyo kupelekea hilo tatizo. Just sayn.
Jamaa ana bahati maana milango ingekuwa locked na ikagoma fu guka ndo basi tena
Unatakiwa uvunje kioo kwa kichwa chap usiungue kizembe
 
Yani maredio ya hovyo ,bahati tu magari mnafunga vioo,vinginevyo ingekuwa mikelele tu barabarani,binafsi huwa sipendi mamziki makubwa kwenye gari,i just love the engine sound.Pia ukiweka mziki mkubwa unaweza hata kugogwa na usihisi
Mimi napenda zile zile speaker za gari bila kuongeza chochote zaidi ya kuweka leather seats sitaki kingine.
 
NAOMBA MSIZISEME VIBAYA GARI ZANGU
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu nyingine zinazochangia hata bei yake kushuka.
 
Ila Dualis zina shida ya kiwandani. Firewall yake iko karibu sana na exhaust manifold, zile clip za plastic zikikatika zinailalia exhaust manifold na kwasababu inakuwa ya moto, inawasha. Ndio moshi mweusi huo nahisi.

NB firewall ni ile plastic inayokaa nyuma kwenye bonnet chini ya kioo kuzuia joto la engine kuja kwenye body/ndani
 
Hapo hata mafundi hawahusiki, magari tu yenyewe yana shida, mm nimeshuhudia mtu kalinunua kalitumia mwezi tu, likaungua lote hapa hapa dar wiki hyo hyo nikaona kwenye mitandao nyingine tena inaungua kimara....kwa hizo gari hiyo changamoto ni yakawaida sana, pamoja na gearbox yake haina shukran kabisa hata uijali vipi....ukienda safar ndefu gearbox inapata moto nakupelekea gari kupungua nguvu
Huu ni uongo mkuu, hebu lete tena feedback maana zishakuwa nyingi.
Me nina yakwangu namba C ipo tangu 2014 haijawahi hata kutoa harufu ya moshi.
 
Back
Top Bottom